Hali ya Mwandsya Kiafya

Hali ya Mwandsya Kiafya

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,958
Reaction score
30,126
Jamani kuna yeyote mwenye taarifa za hali ya kiafya ya huyu mheshmiwa??
Kuna taarifa nazisikia hapa si njema!!
Nataka kuzihakikisha
 
Mbona tumewaandama sana hawa makamanda wa MBeya... ni hii hamu ya jamaa yetu wa kusini kuwa presidaa au?
 
Wanyakyusa wameikosea nini hii govt? Kuna mwingine nasikia kavimba mwili mzima, eti wamemlisha sumu.
 
Mhhhhhhhhhhhhhhh! aisee hii ya kufariki mbona noma sana. Mpaka hapo kama ni kweli jamaa amefariki, basi hii ni vita ya magamba na wanyakyusa
 
Wakuu uzushi wa Mwandosya kufariki si wa kweli, jamaa anaongea live from India this minute kupitia Radio One akijibu hizo tuhuma za kifo. Yuko hai wakuu
 
chadema tujiandae kazi inakuja,,safari hii wataona!
 
mwandosya anaongea itv na anasema ana afya njema tofauti na awali. Kuna kitu nimegundua toka katika sauti yake. Ni sauti ya Nape typical!
 
Yupo salama, na anahojiwa ITV kwa njia ya simu kutoka hospitalini.
 
Back
Top Bottom