Akusaidie kazi kwani ni mfanyakazi wako?? ndo maana wanaume hawataki kuoa maana baadhi ya wa dada wamejirahisisha kutoa huduma zote kwa wanaume ambao bado hawajawaoa. badilikeni!!
Miaka 3 mmmh hapana uchumba gani huo? mapenzi yenyewe ya mbali?hata kama unampenda hauko serios maisha ya sasa yana vishawishi vingi kama kakuvumilia miaka mi 3 fanya ki2 kwa ajili yake aone kua hapotezi muda wake kwako kama haupo tayari mruhusu
Wiki 3 ni chache sana tulia, vuta subira kama na yy anakupenda kweli mwambie asubiri mhunguzane na mjuane vzr kitabia kwanza, asipokulewa tupa kuleeeee anataka akuuzie mbuz kwny gunia
mahusiano ya kukaa cku 2 bila kuwasiliana na mpenz wako bila sbb zamsing hayo ni utata na kuumizana tu. Kaa nae chin muulize, halaf mchunguze yawezekana upendo wake kwako umeisha ndo maana haon ajabu kukaa cku 2 bilakukujulia hali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.