Naombeni kujuzwa

Naombeni kujuzwa

Siwezi kusema kama atakuwa hakupendi hapana, ila angalia kitu kimoja, je ndani ya hizo siku mbili nawe pia uko kimya? kama ni hivyo basi mtakuwa mnashindana na huwa kuna kitu kimoja kinapenda sana kutokea watu wanapokuwa katika uhusiano. kitu hicho ni kwamba kila mmoja anamtegea mwenzie aone kama anamapenzi ya kweli au la! na hata hivyo anavyowasiliana nawe labda anakupima aone ni jinsi gani uta react kuhusu suala hilo. cha msingi kabla ya kumtuhumu BF wako kwanza jipendekeze uone kama ataacha tabia hiyo. kama ataacha basi ujue alikuwa anataka kufahamu hakika yako ndani ya moyo, na kama ataendelea basi ujue ndiyo tabia aliyojichagulia ambayo usipoangalia itakuumiza kichwa na hunda ukashindwa kufanya mambo mengine.

Staryte - Elimu, Burudani na Maendeleo
 
Issue za hivi hazijadiliki kwa allegation za kutoka upande mmoja.
 
mahusiano ya kukaa cku 2 bila kuwasiliana na mpenz wako bila sbb zamsing hayo ni utata na kuumizana tu. Kaa nae chin muulize, halaf mchunguze yawezekana upendo wake kwako umeisha ndo maana haon ajabu kukaa cku 2 bilakukujulia hali
 
Muulize ni aje huwa unanichunia hata kwa siku mbili halafu ukiamua kutuma sms unanitumia iliyoandikwa kama vile mie ni dada yako badala ya mpenzi wako!?

Bf wangu amekuwa na tabia ya kukaa kimya znaweza pita hata cku mbili, akija kuku2mia sms kama anam2mia dada yake vile, je kuna jipya hapa nalingoja?
Ushauri jamani naombeni co vjembe...
 
Kupigiana simu ni jukuma la wapenzi husika, tatizo lenu wasichana hufikiri ni jukumu la mwanaume tu, nyie ni kubeep na kuomba salio,kutolewa out,na mizinga kibao; suala la kipato ni la pande zote; je ukimpigia simu hapokei? au unasubiri kupigiwa tu! ukituma text hakujibu? au unasubiri kutumiwa tu! kumtoa out hataki? au unasubiri kutolewa ww tu! kwa mwanaume mwenye malengo ya kweli na mwanamke ni lazima umpime katika hali zote ili uone response yake, hiyo pia ni sehemu muhimu katika mapenzi naye anakuchunguza so badala ya kulaumu we muonyeshe utofauti ipo siku atakwambia maana ya anachokifanya; mpigie simu mara kwa mara, mtumie text na ikiwezekana mrecharge kabisa ndani ya mwezi mmoja/miwili utaona mabadiliko. Ukiamua na wewe kukaa kimya na kuanza kulaumu atakuacha kweli! mambo yamebadilika dada usikariri, nakushauri kwa uzoefu maana hata mimi tabia hizi za wadada huniboa sana! Linda ulichonacho sasa usikipuuzie utaja jilaumu.
 
Asante kwa mchango
 
Nawashukuru wote mlio nipa ushauri, nmejifunza mengi sana, shukrani
 
Back
Top Bottom