Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
Tatizo kubwa naona kuwa ana majibu na maamuzi tayari ndiyo maana kila anayemshauri kutomrithi shemeji yake anapingana naye. Alitegemea wanaJf wana mawazo kama yake.
Endelea na maamuzi yako kama unavyofikiria, muache mkeo akatafuta mwelekeo mwingine.
Ingekuwa viceversa cjui kama angekubali