Asnam
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 4,256
- 2,949
nahisi ndo kinachofwata hicho kuambiwa siendani nae,bora nichukue hamsini zangu mapema
fanya kweli usisahau kurudisha majibu
nahisi ndo kinachofwata hicho kuambiwa siendani nae,bora nichukue hamsini zangu mapema
fanya kweli usisahau kurudisha majibu
Hvi unadhan kuna kitu?
Tupo wangapi hiyo! Shtuka kiongozi unaingizwa kwenye gridi ya taifa bila kujua. Inawezekana huyo aliyepiga simu upande wa pili ndo aliyenunua hiyo simu, wewe mtuma vocha kuna mwingine anampeleka shopping halafu kuna lile pedeshee la kusafiri nalo mikutanoni mara bwagamoyo, tanga arusha mwanza dodoma na zenji kuwa mwangalifu kijana!
fanya kweli usisahau kurudisha majibu
We kilaza sana hata hili unashindwa kumhoji na kuchukua hatua
eti jaman hii kitu inanishangaza kwa kweli,kuna manzi yangu mmoja hivi nikiwa naongea nae kwa simu nyakati za usiku,kunamtu huwaanampigia,sasa yeye anachofanya nikuhold on namba yangu(yani kama kunistopish flani)alafu anaongea nauyo kiumbe mwengine akimaliza kuongea nae ndo ananiludisha mm...,,Eti jamani hii kweli haki kwa mm boyfriend wake?
Utakuwa unabomoa badala ya kujenga hata hivyo ni kujikomoa kwani mwanamke huenda alishapenda kwelikweli wakati wewe utakua unaigiza huku moyo wako ukiwa kwa huyu anayeku-hold. Better u discuss and reach conclusion.Kwani wewe hauna mwingine? Kama huna,tafuta ili uwe unam-hold na wewe.Simple like that men