Kanipa Deadline either nikajitambulishe kwao au tuachane.

Huyo kapata mtu mwingine thats why anakuzengua maana naamini mlishaongea na kukubaliana taratibu zote za kuishi pamoja sasa iweje akuamlishe kama mjeshi?
Kama vipi mpige chini kwani si umeshagegeda vya kutosha? Hasara kwake, hasara kwake? Piga chini huyo tena mwambie huendi hata kwa ndumba za babu wa loliondo.

what if huyo binti angekuwa dada yako
 
Tuliza akili kama kujitambulisha easy we nenda hata kama mkwanja umekata ,wewe si unampenda huyo binti?
 
chelewa chelewa.....................! malizia mwenyewe
 
Nimekuwa kwenye uhusiano na mpenzi wa roho yangu kwa takriban miaka mitatu.
Kwa kipindi chote hicho tumekuwa tukiishi mikoa tofauti. Yeye anafanya kazi Babati na mimi nafanya kazi Dodoma.
Licha ya umbali uliopo tumeishi kwa upendo na kuaminiana na hata ndugu na wazazi wanajua kuhusu uhusiano wetu tukitarajia kuja kufunga ndoa baadae.
Siku za karibuni amekuwa akisisitiza sana nikatoe mahali kwao nami nikawa namuambia sawa tutafanya hivyo na nimemueleza sababu ya kuchelewa ni matatizo ya kifamilia yanayonikabili.
Ghafla wiki iliyopita alikata mawasiliano na hataki pokea simu yangu wala kujibu sms.
jana nimekaa nawaza akanitumia sms kuwa nadhani nishaamua kama namhitaji niende kwao Marangu kabla ya tar 25 mwezi huu vinginevyo simuhitaji.
Kweli nimeishiwa nguvu kwa kuwa sidhani kama kwenda kwao kwa kuforce kwa deadline ni vyema. Anajua kuwa nampenda sana lakini sasa hakuna my love wala sweet.. Ni mwendo wa hey na hello yan full ubabe. Nishaurini wakuu maana natarajia kwenda lakini kwa sasa sijajipanga kusema kweli.

MIMI naamini kila kitu lazima kiwe na deadline.Maisha yenyewe yana deadline,Time frame ni jambo la muhimu sana linaonyesha na kuweka mikakati ya kujipanga ili kufikia malengo husika.Labda deadline uwe nayo wewe mwenyewe kichwani bila kumshirikisha mwenzako,na hapo ndo kunatokea tatizo la mawasiliano na mgogoro.Timeframe inafanya planning ziwe nzuri na archievable.uchumba mwisho mwaka mmoja tu unaoa.hii imethibitishwa na watanzania kasoro wewe unaekataa....
 
Miaka 3 mmmh hapana uchumba gani huo? mapenzi yenyewe ya mbali?hata kama unampenda hauko serios maisha ya sasa yana vishawishi vingi kama kakuvumilia miaka mi 3 fanya ki2 kwa ajili yake aone kua hapotezi muda wake kwako kama haupo tayari mruhusu
 
She is right,na anakupenda,anataka ajue kama upo serious naye au lah,she has a future,anataka kujua hatma ya future yake,.yupo sahihi.do it for her if and only if u real lv her,kama huna future naye be black or white,cz kama unamchezea Mungu atakulipia na utapata laana Bure,soma yakobo sura ya pili.tk cr amigo.gd day
 
miaka mi 3 ... hujatia mimba.... wanaume wengine bana.. ushampoteza huyo. na nadhani hukumpenda
 
gud gud gud.. kwa mwendo huu hakuna mtu anamwaga kihasara hasara.. Either uoe au uwaachie wenzio. Sio unapata huduma za bure kwa miaka 5 then unasepa!
 
Nimekuwa kwenye uhusiano na mpenzi wa roho yangu kwa takriban miaka mitatu.
Kwa kipindi chote hicho tumekuwa tukiishi mikoa tofauti. Yeye anafanya kazi Babati na mimi nafanya kazi Dodoma.
Licha ya umbali uliopo tumeishi kwa upendo na kuaminiana na hata ndugu na wazazi wanajua kuhusu uhusiano wetu tukitarajia kuja kufunga ndoa baadae.
Siku za karibuni amekuwa akisisitiza sana nikatoe mahali kwao nami nikawa namuambia sawa tutafanya hivyo na nimemueleza sababu ya kuchelewa ni matatizo ya kifamilia yanayonikabili.
Ghafla wiki iliyopita alikata mawasiliano na hataki pokea simu yangu wala kujibu sms.
jana nimekaa nawaza akanitumia sms kuwa nadhani nishaamua kama namhitaji niende kwao Marangu kabla ya tar 25 mwezi huu vinginevyo simuhitaji.
Kweli nimeishiwa nguvu kwa kuwa sidhani kama kwenda kwao kwa kuforce kwa deadline ni vyema. Anajua kuwa nampenda sana lakini sasa hakuna my love wala sweet.. Ni mwendo wa hey na hello yan full ubabe. Nishaurini wakuu maana natarajia kwenda lakini kwa sasa sijajipanga kusema kweli.

kila kitu ni kwa mipango sahihi yako binafsi,huyo anataka akupangie yeye.huyo dada ana mtu ila wewe ni chaguo la kwanza kwake.amekuweka katika ushindani bila wewe kujua.na inaelekea huyo mpinzani wako yeye yuko tiari zaidi kuowa kuliko wewe.nakushauri usikubali kuperekwaperekwa na mwanamke itakuwa na mazoea hata ndani ya ndoa.jitahidi uwe mwamuzi wa mwisho kati yenu.
 
Tuanze ka ku-define UCHUMBA pliz bro Kiranga usijisikie vibaya nikikumention sana..ila kwa hili nadhani i concur with your principle ya ku-define terms used ili tusijekuwa tunajadili the same things but from different prespectives according to how we define the different terminologies used.
 
Last edited by a moderator:
Good for her. It just time you have to get serious.

yes good for her matatizo yapo yalikuwapo na yataendelea kuwapo mbona 3 yrs zimepita na hajaweza kutatua hayo matatizo yooote.na inawezekana anavyomwambia asubiri ya tarise makubwa zaidi ya hayo aliyonayo sasa hivi.

TIME to act is NOW
 
Miaka 3 mmmh hapana uchumba gani huo? mapenzi yenyewe ya mbali?hata kama unampenda hauko serios maisha ya sasa yana vishawishi vingi kama kakuvumilia miaka mi 3 fanya ki2 kwa ajili yake aone kua hapotezi muda wake kwako kama haupo tayari mruhusu

Baba yake ukumbuke hawa sio wachumba ni wapenzi maana jamaa hajajitambulisha na ndiyo maana anapewa deadline. Wapenzi hawana muda maalumu ya kukaa kabla ya kuamua ku-upgrade urafiki wao kuwa wachumba, kama wangekaa miaka 3 baadaya ya kujitambulisha na kulipa mahari tungeshangaa ila kwakua bado ni wapenzi hata miaka 10 poa tu, mbaya tu ni kuwa 1 anaweza kuchoka na kutimua na anayetaka kutimua huwa anaweka deadline.
 
Nimekuwa kwenye uhusiano na mpenzi wa roho yangu kwa takriban miaka mitatu.
Kwa kipindi chote hicho tumekuwa tukiishi mikoa tofauti. Yeye anafanya kazi Babati na mimi nafanya kazi Dodoma.
Licha ya umbali uliopo tumeishi kwa upendo na kuaminiana na hata ndugu na wazazi wanajua kuhusu uhusiano wetu tukitarajia kuja kufunga ndoa baadae.
Siku za karibuni amekuwa akisisitiza sana nikatoe mahali kwao nami nikawa namuambia sawa tutafanya hivyo na nimemueleza sababu ya kuchelewa ni matatizo ya kifamilia yanayonikabili.
Ghafla wiki iliyopita alikata mawasiliano na hataki pokea simu yangu wala kujibu sms.
jana nimekaa nawaza akanitumia sms kuwa nadhani nishaamua kama namhitaji niende kwao Marangu kabla ya tar 25 mwezi huu vinginevyo simuhitaji.
Kweli nimeishiwa nguvu kwa kuwa sidhani kama kwenda kwao kwa kuforce kwa deadline ni vyema. Anajua kuwa nampenda sana lakini sasa hakuna my love wala sweet.. Ni mwendo wa hey na hello yan full ubabe. Nishaurini wakuu maana natarajia kwenda lakini kwa sasa sijajipanga kusema kweli.

Yupo sahihi kabisa.
 
Tuanze ka ku-define UCHUMBA pliz bro Kiranga usijisikie vibaya nikikumention sana..ila kwa hili nadhani i concur with your principle ya ku-define terms used ili tusijekuwa tunajadili the same things but from different prespectives according to how we define the different terminologies used.

That's very Socratic of you.

Nimegundua hili ni tatizo kubwa sana hapa.

My two cents, mapenzi hayana ultimatum. Ukishaona ultimatum hicho ni kitu kingine si mapenzi.
 
Yupo sahihi kabisa, we nenda kajitambulishe, kwenda kujitambulisha haina maana utaambiwa utoe hela, ukishajitambulisha ndo utapangiwa mahari ambayo ndo sasa unatakiwa ujipange ulipe.
Kama kweli unampenda, utajitambulisha
 
That's very Socratic of you.

Nimegundua hili ni tatizo kubwa sana hapa.

My two cents, mapenzi hayana ultimatum. Ukishaona ultimatum hicho ni kitu kingine si mapenzi.

nA UCHUMBA JE?? HEHEH...A CENT PSE.
 
nA UCHUMBA JE?? HEHEH...A CENT PSE.

Uchumba ni kipindi maalum cha kabla ya ndoa (engagement)

To be fair love is not necessary for either uchumba or marriage, so ultimatums are not necessarily an anathema.

Just a note so there is no confusion that a love based marriage could be based on ultimatums.
 
Badala ya kushukuru Mungu kakuonesha alivyo mpuuzi mapema tena kabla hujajiingiza kwenye utambulisho unakuja kulalama humu!

Ngoja uoe ndo utatia akili, lazima aje na nyingine kwamba usipomnunulia gari anaenda kwao!!

Kwa kukwambia hivyo ina maana kwamba kwake yeye wewe una mbadala!! Stuka!
 
Back
Top Bottom