Nokia C3

Nokia C3

Dah kaka, kuaminiana katika ndoa nijambo la muhimu sana! Naona kabisa ndoa yako inavoingia matatani mkuu! Nikweli utapewa altenative ya kumtrace, unajua madhara yake? Ni ugomuvi ndoa kuvunjika, mwisho wake watoto kutaabika, ushauri wangu jaribu kumwambia kwanini ana futa sms kabla ya kukupa sim? Kisha umwambie hupendi tabia hiyo kwani inakutia mashaka, atakuwa mkali sana hivyo jiandae kumkabili kama mwanaume.
 
mkuu ushauri mzuri sana ila hata nikijua mbaya wangu itakuwa vizur kuonya na yeye akijua kuwa nimefaham maovu yake ila kuacha familia yangu siwezi na jua kuwa nikionya kwa kujua muusika wa sms hizo basi nadhan itakuwa safi sana
 
Mkuu malizia uhondo basi. Ukishadownload what next? Nna kanyumba kangu kadogo kanatumia hiyo simu nataka nikatafutie sababu.

kama kawaida yako........nyumba ndogo na yenyewe inatafutiwa sababu ya kuachwa ndo nasikia leo,mie nilijua nyumba kubwa ndo inatafutiwa sababu loh....
 
hayuko fb wala mtandao wowote ila ni mwajiriwa pale karakana ya ufundi wa magari ya serikali temesa yeye ni kama store kiper

Umemwingiza mkeo katika basi la kichina aina ya Yutong!! Sijui kama unajua linakoelekea na atashukia kituo gani apokelewe na nani...! Tafakari kabla ya kujibu baadhi ya maswali maana wengine wako kikazi zaidi hapa jamvini.
 
  • Thanks
Reactions: SG8

safi kama kikazi mm niko kishughul mdomana niko kwa watalaam humu jamvini au bro unagopa kungolewa kucha
 
nenda kampuni ya simu, wanajinsi ya kufanya watakuprintia msg zozote unazotaka,
 
Back
Top Bottom