Recent content by Baba wa mbingu

  1. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga wanapenda kuuliza hili swali?

    Mkubwa mbona unahasira sana, kwani we ni kabila gani?
  2. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo pamoja na uzazi kwa wanawake anitafute

    Mtoa mada hutaki hata mtu mmoja wa sample ili alete ushuhuda humu, anyway mkae kijanja dawa haiziuzwi kwa njia hiyo.
  3. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufika ukweni nilichokiona

    pale mnarani ndo home ungekuja tu bwashe kunitembelea
  4. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Kibiashara kati ya YANGA na FABRIZO nani kapigwa hapa.

    Kwenye hii biashara kati ya yanga na Fabrizio nani kanufaika zaidi na yupi kapigwa? maana yanga wao ndo wakwanza kumpost jamaa kuwa ametangaza jezi zao, na hivyo kutufanya kujua hilo huku lengo lao ni dunia ijue kuhusu jezi zao, wakati kwa upande mwingine fabrizo yeye hajaposti kwenye jukwaa...
  5. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Mahari yangu ni billioni 1, anaetaka aje

    :D:D hata huo ni mchango mkuuu
  6. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Mahari yangu ni billioni 1, anaetaka aje

    Miss Halima mambo!
  7. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania JF sio mtandao wa vilaza, kwa nini wewe humu umegeuka omba omba wa kuomba pesa ?

    Mkuu walianzisha uzi humu kuwa umepotea, naona kuna mtu kakukwaza SANA ila naamini wewe ni hip hop so mtag tuu kaka mkubwa.
  8. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Utaenda na nani kati ya Hawa?

    bila picha zao ushauri hauwezekani
  9. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    YAMETIMIA in passion of christ movie sound. britanicca huwa sina shaka na code zako, pia wewe ndo umefanya nione watu wote siyo sawa nyuma ya keyboard kuna status kubwa sana ya hizi ID.
  10. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

    Kuna mtu hapa anatafutwa soon tu! milio itatoka
  11. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Jinsi matapeli wa mjini wanavyotumia "harusi" kupiga pesa; inauma sana

    Changia wenzako wanapokuomba michango acha longo longo
  12. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni Star Employment Service TZ nirejesheeni 11.2M nilizowapa mnitafutie ajira nje

    Nje ya nchi ulikuwa intern au? Pili unalipa pesa ya mtaji ili utafutiwe ajira huko huko Ujerumani uliokuwa akili zako zipo sawa kweli?
  13. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wanywa pombe wa Tanzania Chukueni hatua mamlaka zimelala

    achana na hizo pombe mkuu mtaani wanadai hadi maji ya chupa nayo ni holaaa, imagine kuna kiwanda x kilisitisha huduma kwa muda ili kubaini uwepo wa brand yake feki mtaani na aliwadaka wazalishaji feki.
Back
Top Bottom