Wachagga tofauti na Makabila Mengi wana nidhamu ya Fedha na Uelewa wa Kutunza kwa ajili ya Jambo fulani wacha wale maisha desemba kwao ni kufuta jasho la mwaka mzima
Vijana wengi (Sio wote) wenye Utimamu wa Akili, Wasiounufaika na Mfumo, Wasioona Dira ya Ajira kwao wamekatishwa Tamaa na Serikali hii..hawana Uhuru wa kusema, wamesoma kwa Pesa za kudunduliza na Kodi za Wananchi lakini Ajira kwao ni Dana Dana ( hasa Fani zenye uihitaji) na Bado hawaioni Kesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.