Asipo Fanya vizur msim huu,huenda gutty akapewa timZidane akipigwa El classico Kazi yake imeisha na najua chance ya kushinda hana maana amekuwa butu sana tactically
Watuachie huyu dogo yupo njema kwa kweli.Tetesi
Arsenal na Tottenham wana nia wa kumsaini Dani Ceballos. Mchezaji huyo wa kiungo cha kati mwenye umri wa miaka 21 hana furaha huko Real Madrid. (Calciomercato)
Una chongo? Aliyefunga magoli muhimu kwenye back to back UCL ni Cr7, mpaka sasa kinara wa magoli UCL ni Cr7, sababu ya ukame wa la liga? Katazame assist anazo ngapi! Ninachokubaliana na wewe ni kubadilika kimchezo na kuletwa striker atakaye saidiana naye. Siyo kuuzwa. Muda wowote atawanyamazisha ninyi haters.Real Lazima wabadilike. Ronaldo Anahitajika kuwekwa bench. Na mwakani auzwe for better Player.
Hana mchango wowote kwenye game zaidi ya magoli. Nasasa hayo magoli yenyewe yamekua ishu, sasa sijui bado anafanya nini uwanjani.
Sjui nani anachongo. Lagi inakaribia mechi ya 15 na Ronaldo ana magoli mawili. sasa bado unatafuta tatizo? Tatizo la real ni magoli. Nayeye ndo butu.Una chongo? Aliyefunga magoli muhimu kwenye back to back UCL ni Cr7, mpaka sasa kinara wa magoli UCL ni Cr7, sababu ya ukame wa la liga? Katazame assist anazo ngapi! Ninachokubaliana na wewe ni kubadilika kimchezo na kuletwa striker atakaye saidiana naye. Siyo kuuzwa. Muda wowote atawanyamazisha ninyi haters.