Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tumeshinda,, lakini tunahitaji kipa mbadala wa Keylor na. Ufungaji nao ubadilike uwe wa set piece's, shot inside and outside the box, V-cross ndo ziwepo zinapolazimika. Halafu weka Benzema iingie damu changa na Isco asiwe anashuka sana awe ana press na penetrate .
 
Ila ndo hivyo tujikongoje tu hakuna namna japo timu haina consistency.
 
RONALDO AANZA MAZUNGUMZO NA PSG

Cristiano Ronaldo amemwambia wakala wake Jorge Mendes kuanza mazungumzo na Paris Saint-Germain, kwa mujibu wa DiarioGol .
Inadaiwa kuwa Mreno huyo anataka aidha kuongezewa ujira Real Madrid au kuondoka mwishoni mwa msimu huu, ombi ambalo rais Florentino Perez hana mpango wa kulifanyia kazi.
 
REAL MADRID KUTOA DAU LA £80M KUMSAJILI MARTIAL

Real Madrid wapo tayari kutoa kitita cha £80 milioni kwa ajili ya kumsajli Anthony Martial msimu ujao majira ya joto, kwa mujibu wa The Mirror .
 
Wadau mbona kimya leo humu.

Jamaa washatutungua kamoja aiseh

Aggregate inakuwa 2 - 1

Hope tutashinda ingawa front line haina makali.
 
This boys are talented but they never played together before, na hawa jamaa wanafanya kweli. Next round Zidane atuwekee vifaa tu tumechoka hii embarrassment kila siku.
 
Real Madrid wanalenga kumsajili beki wa Chelsea na Brazil David Luiz 30 ambaye hatakikani katika uwanja wa Stamford Bridge msimu huu. (Daily Mail)
 
Nilichokiona jana bado zidane ana kazi kubwa ya kufanya, haiwezekani kikosi kizima kimebadilishwa ila wanacheza vile vile kama kaka zao wa 1st team, mwanzo unaweza kudhani ni wachezeja wanazembea, ila ukiangalia kwa umakini mfumo wa sasa wa zidane ni wa hovyo kabisa, inabidi aanze upya kupanga timu itakayo leta tija kwenye mashambulizi na sio kutegemea wings na cross zao kutafuta ushindi.
 
Mkuu hizi habari nyingine mi naonaga udaku tu, hasa hawa Daily Mail.
 
Nilichokiona jana bado zidane ana kazi kubwa ya kufanya, haiwezekani kikosi kizima kimebadilishwa ila wanacheza vile vile kama kaka zao wa 1st team, mwanzo unaweza kudhani ni wachezeja wanazembea, ila ukiangalia kwa umakini mfumo wa sasa wa zidane ni wa hovyo kabisa, inabidi aanze upya kupanga timu itakayo leta tija kwenye mashambulizi na sio kutegemea wings na cross zao kutafuta ushindi.

Mkuu umenena, tactically Zidane anatuangusha sana. Tunazoona sasa ni effort tu kwa vile ni Real Madrid lakini kiufundi tumekwama.
 
Kwa kuwa tulifanikiwa miaka miwili iliyopita basi anaendeleza mfumo ule ule uliopatiwa dawa na wapinzani wetu. Zizou akibadili mfumo naamini kuna tija tutaanza ona.
 
Siku hizi wanaweka five defenders kwenye box, cross zote, corners na set pieces zikipigwa zinaishia huko huko hewani. Timu yetu inategemea sana headers lakini msimu huu tumebanwa. Zizou kweli anatakiwa abadilishe mbinu.
 
Cha kushangaza tuna wachezaji wa kumiliki mpira na kutoa pass fupi na ndefu kwa uhakika lakini jamaa anakomalia cross tu.!!
 
Back
Top Bottom