Duh!...Weeeh acha tuu ndugu, watatuua kweli na sio kufa tu bali nachokiona hiyo match ni kuzikwa kabisa na jeneza la magoli...."NATUFUNGWE TUUU MAANA HAMNA NAMNA NYINGINE SASA" Mmh! najiskia vibaya sana kwa kweli na nasikitika kuumaliza mwaka vibaya mbele ya macho yangu haya ya mwili, ILA NISEME TU NAOMBA TUKOSE MAKOMBE YOTE(mpaka Hivi sasa laliga tushaikosa na UEFA Hatuwezi chukua kwa dizaini hii tunayokwenda nayo) NA TUFUNGWE MECHI ZA KUTOSHA KISHA HUYU ZIDANE ATIMULIWE....MAANA UKITIZAMA YEYE NDO CHANZO CHA HAYA YOTE TUKIANZA KUISHIWA NA MBINU, PIA KUTOSAJILI KAMA ALIVYOMUELEZA PEREZ WASISAJILI HASA MBAPPE ETI KIKOSI CHETU KIPO NJEMA WAKATI HIVI SASA MADUDU WANAYOFANYA TUNAYAONA WENYEWE....MAANA ATA KAMA WACHEZAJI WAMECHOKA KWA MECHI NYINGI MSIMU ULIOPITA LAKINI KAMA ZIDANE ANGESAJILI TUNGEKUWA NA MIBADALA YA KUELEWEKA ILA YEYE KAZI NI KUMBEBA BENZEMA WAKE TU.