Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tukubaliane kutokubaliana kiwango chenu kimeshuka sana kama si kuporomoka. Mnatolewa jasho na timu inaburuza mkia!
 
FULL TIME: Real Madrid 3-2 Malaga (Benzema 9', Casemiro 21', Cristiano 76'; D. Rolan 18', Chory 58').

DPfmS5BWkAA_VOG.jpg:large
 
Team iache uzembe fuln aise ...hasa defences maana goli zao zimetokana na back pass ..kiasi tumejitahidi next stop ni atm bilbao. ..[HASHTAG]#halamadrid[/HASHTAG]
 
Mkuu, the beginning of the season tumekupiga nje ndani, kwahiyo we kaendelee na shughuli zako tu
Hivi Malaga si wa mwisho kwenye ligi? Ndiyo wamewatoa jasho ? Ningejua ningekaa kuangalia.
 
Team iache uzembe fuln aise ...hasa defences maana goli zao zimetokana na back pass ..kiasi tumejitahidi next stop ni atm bilbao. ..[HASHTAG]#halamadrid[/HASHTAG]
Inabidi muache uzembe,si ushasikia Messi kajisajili upya hii habari mbaya hasa ukizingatia back line ya Barca ni zaidi ya ukuta wa BERLIN
Hivi Malaga si wa mwisho kwenye ligi? Ndiyo wamewatoa jasho ? Ningejua ningekaa kuangalia.
Hawajui kwamba Messi kasajiliwa upya-kibaya zaidi kuta la Berlin likiongozwa na Ter Stegen halimuachi mtu-total shutout,no sniff of goal
 
Mkuu napata wasiwasi na uelewa wako wa Football. Si juzi tu umetolewa jasho na Olimpiakos? Na umeshindwa ku-score, atleast we scored 3 times today.
 
Inabidi muache uzembe,si ushasikia Messi kajisajili upya hii habari mbaya hasa ukizingatia back line ya Barca ni zaidi ya ukuta wa BERLIN

Hawajui kwamba Messi kasajiliwa upya-kibaya zaidi kuta la Berlin likiongozwa na Ter Stegen halimuachi mtu-total shutout,no sniff of goal

Sijui unaongea nini, huo ukuta wa Berlin tushapiga mara mbili msimu huu huu. Si unakumbuka ulivyojipiga ban JF humu?
 
Nyie
Mkuu napata wasiwasi na uelewa wako wa Football. Si juzi tu umetolewa jasho na Olimpiakos? Na umeshindwa ku-score, atleast we scored 3 times today.
Nyie hii hali ya kustruggle hata na timu ndogo imekuwa ya kujirudiarudia sana.
 
Sijui unaongea nini, huo ukuta wa Berlin tushapiga mara mbili msimu huu huu. Si unakumbuka ulivyojipiga ban JF humu?
Tactics Velverde kabadilisha baada ya hapo-tumewaiga style yenu ya ku grind out results-so far hatuna mpinzani
 
Nyie

Nyie hii hali ya kustruggle hata na timu ndogo imekuwa ya kujirudiarudia sana.

We scored 3 times, how can you call that struggle? Wewe ndio uli-struggle maana umeshindwa kuona nyavu in 90 minutes
 
Tactics Velverde kabadilisha baada ya hapo-tumewaiga style yenu ya ku grind out results-so far hatuna mpinzani

Napenda ego uliyonayo, ningefurahi ungekuwepo humu tuongee baada ya December 23. Lakini nashangaa ukifungwa unakimbia.
 
Back
Top Bottom