Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Dortmund pigeni hivi vichovu
Mvibane ka vilivyofanywa na Bilbao
Pigisha umeme li fala lingine leo ikiwezekana lilelile
Vipigieni miwa na maheda mtaviweka 2.Pale golini linakaaga pazia tu.Pigeni matobo sana
Pigeni hata makrosi eneo lao yatajiweka tu ni mabingwa ya kujiweka
Pigeni kbs yazidi kuchanganyikiwa hadi yule mwenye kipala kitoe moshi
 
Back in our favourite competition., [HASHTAG]#Championsleague[/HASHTAG]..,
Vijana wapo kwnye mood sana Leo sijui wamepewa nin!!? Ama Dortmund wachovu.,
So far nimemwelewa sana Kovacic, ametuletea alichokosa Isco.,
 
Dortmund pigeni hivi vichovu
Mvibane ka vilivyofanywa na Bilbao
Pigisha umeme li fala lingine leo ikiwezekana lilelile
Vipigieni miwa na maheda mtaviweka 2.Pale golini linakaaga pazia tu.Pigeni matobo sana
Pigeni hata makrosi eneo lao yatajiweka tu ni mabingwa ya kujiweka
Pigeni kbs yazidi kuchanganyikiwa hadi yule mwenye kipala kitoe moshi
Kama ninakuona unavyochungulia kwa mbali, endelea kulia
 
Varane Leo amekuwa golikipa loo, nikama amechomoa mbili, Navas alishakubali kabisa, ila kijana akajitokeza kuokoa Jahazi
 
Ila hii team yetu karibia vijana wote viwango vyao vimeshuka, yaani Vasquez haonekani kabisa., kama fagio likipita ninaona huyu kijana akitembea kwa kweli,
 
Theo akiweza kupiga pass za mwisho zenye macho, atakuwa mtamu sana huyu kijana, upande wa kushoto sina wasi wasi nako kabisa, abarikiwe aliyemuona huyu kijana..,
 
Duu.., Varane is off aisee, ninadhan kapata majeraha, strangely Zidane kamtupia ndani Marco Asensio.,
 
So far vijana wanajitahidi kufanya waliyoagizwa na Zidane, japokuwa sub ya Varane kuungia Asensio sijaielewa, ngoja tuone ni nani atatoka ili tuzibe nafasi ya Varane sababu imeshatucost tayari
 
Tunamuhitaji De gea hata kwa pesa zaidi ya Neymar
Acha tu Mkuu, tuna Obwe kubwa sana kwenye upande wa mlinda lango, sielewi Navas ni sababu ametoka majeruhi ama ndio vile analekea ukingoni.,, ngoja tuone dirisha dogo Management itafanya nin!!
 
Back
Top Bottom