Recent content by B4U

  1. B

    CHADEMA: Hatutikisiki | Wasema Cuf ni CCM B, Lipumba anatekeleza mradi

    Kwa jinsi mambo yanavyokwenda kimantiki tu inaonyesha ni kweli CDM ilishinda uchaguzi na kama kilishinda maana yake ni chama tawala hivyo kupata upinzani kwa vyama vingine vyote vikiongozwa na mpinzani mkuu yaani CCM.
  2. B

    Ni Bank Account

    kwenye love inatakiwa udeposit tu bila kutegemea kuwithdraw lakini ikitokea umewithdraw shukru mungu.
  3. B

    Nimepewa namba ya simu na Demu

    Kabla sijakushauri nipe hiyo namba kwanza.
  4. B

    Walimu na manesi ndio wanawake wa kuoa?

    Tatizo la manesi ni zamu za usiku wakati ambao wanahitajika saaana kwa mume.
  5. B

    Sabodo aichangia CHADEMA milioni mia moja

    Kwa hiyo inawezekana hata mfuko wa mama Salima Kikwete uliosaidiwa na Sabodo ni kutoka nje?
  6. B

    Mvulana wa Miaka 17 Kabakwa, anaweza kushtaki?

    Suala la Yusufu na huyu kijana ni tofauti. Kwani Yusufu alikimbia na hakufanya kitendo.....
  7. B

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    kutibu ukimwi Thursday, 03 March 2011 Daniel Mjema, Moshi KWA takribani wiki moja sasa, mji wa Moshi na vitongoji vyake, umekuwa ukizizima kufuatia taarifa za kuwapo kwa mchungaji mstaafu anayetoa dawa zinazotibu magonjwa makuu manne ukiwamo ukimwi, kwa gharama za Sh500 tu. Uchunguzi wa...
  8. B

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Vitu vingine ndugu yangu vimekaa kiimani zaidi usitake kuhoji kisansi kwa hiyo kama unaamini nenda na kama huamini baki. Sana sana ungehoji kwanini asitibu bure kabisa maana kaoteshwa na Mungu.
  9. B

    Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

    Kitu ambacho unashindwa kuelewa ni kwanini walitoka kwa wakati huo.Maana hatua ya wakati chadema wanatoka ilikuwa ni ya kuunga mkono hoja na kwa kuwa CCm ni wengi ukichanganya na CCM B ni wazi kuwa hoja lazima iungwe mkono kitu ambacho hawakuwa tayari na wao kuwa part ya wanaounga mkono ndio...
  10. B

    Another Misleading Article from Nation Media

    Kweli ni vizuri hawa jamaa kuwafuatilia nyendo zao tokea mwanzo kabla mambo hayajaharibika.tukashitukia kufunga zizi wakati ng'ombe wote wameshatoka.
  11. B

    Swali la kizushi kwa Dr Slaa, Mbowe, Mnyika, Mkumbo na Wanachadema

    KAMA ULIVYO SEMA KIONGOZI MASWALI YAKO YA KIZUSHI, NA WEWE MWENYEWE MZUSHI Upande wa ZNZ kuna mengi, kwanza ni dhana takatifu iliyojengeka kwamba wa ZNZ wanakandamizwa, binafsi yangu naona tena kuwepo kwa ZNZ ni kikwazo kimojawapo kwa CDM kushika utawala mapema, kuna irudisha nyumba CDM kwanza...
  12. B

    Rostam na wenzake wametutwisha watanzania taji la miiba

    Nakataa kata kata kata kata......! kama kuna kukataa zaidi ya hivi nilivyo kataa basi nakuomba uniwekee hapo! Si kweli Kwamba Rostam ametutwisha taji la miiba ni uwongo usio mtakatifu, kwanza angali upumbavu wa WATZ huyu jamaa kwani ni mbunge voti maalumu? kama alichaguliwa sio kwa pesa zake...
  13. B

    Julius Mtatiro apandisha jazba kuhusu Tamko la Chadema kutoungana na CUF Bungeni

    Kwa mtazamo wangu, wapinzani kuungana au kuto kuungana kunaweza kusiwe na mantiki sana kwa wakati huu, ingwa kwa mimi ninavyo muona Mtatiro, angekuwepo Bungeni angaliweza kuleta changamoto ya namna yake pale kwani, hata kama alisha wahi kuchemka alipo kuwa chuoni lkn hii ni level nyingine...
  14. B

    Madai ya mgomo Chuo kikuu Dar hayana upeo mkubwa

    Mi nafikiri swala sio kiwango cha pesa, bali tufanye nini hili ikibidi hata hicho kiwango cha 5000/- kiwe ni cha kusaza, maana ukiangalia kweli 5000/- haitoshelezi lakini swala si kudai nyongeza kila kuna kucha, na ndomana hawa wapo huko vyuoni!!! serikali imeshindwa kubuni mbinu mbadala hata wa...
  15. B

    Madai ya mgomo Chuo kikuu Dar hayana upeo mkubwa

    Swahilian!!! umeiangalia Elimu kwa ufinyu sana na wale ambao tuna thubutu kuwa ita wasomi, kwanza, binafsi nawaona wanafunzi kuwa wabinafsi mno, kwahiyi kwa mantiki yako kila gharama za maisha zinapo panda basi na boom ipande? hivi unajua hilo ndilo linalo fanywa na serikali yako? kila mwaka...
Back
Top Bottom