Mvulana wa Miaka 17 Kabakwa, anaweza kushtaki?

Avanti

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
1,209
239
Jirani kwangu kuna mwanamke mmoja mke wa polisi alimpenda mvulana wa watu (both in camera). Mvulana huyo hakujua nia ya huyo mmama hadi siku moja alipoitwa na huyo mmama ndani mwake then huyo mmama akaanza kumsugua nanihiii yake mpaka ikaerect, na hapo yule mmama akamvua yule mvulana suruali na kujilaza chali na kupanua paja zake na kumshika yule kijana nanihii yake na kuinyonya na kuigusisha gusisha kwenye k...a yake ahadi kijana yule ikazidi kuerect, na mwisho yule mmama akaichomeka nanihii ya mvulana kwenye k..a yake. Kijana anadai pamoja na hofu aliyokuwa nayo ile nanihii ilipochomekwa tu akaejaculate, baada ya hapo akaambiwa atoke nje na akaambiawa asiseme kwani atahatarisha usalama wake mwenyewe. Kijana analalamika kwamba hakuridhia tendo hilo na pia yule mama anajulikana ni kicheche na anatuhumiwa kuyakanyaga mawaya. Je tumsaidieje huyu kijana?
 
mnh unasuguliwa suguliwa uume umetulia tu?? huyo aliridhia mwenyewe alitaka kuonja nadhani :mullet::spider::spider:
 
Pamoja na kutulia si hakuridhia, na tena alikuwa ndani kwa yule mama angepiga kelele angepakaziwa mwizi ingekuwaje? Kwenye Biblia hata Yusuph aliwahi singiziwa
 
Sheria iko Kimnya! mwanaume hawezi kubakwa!lakini mazingira inaonyesha karidhia huyo
 
Pamoja na kutulia si hakuridhia, na tena alikuwa ndani kwa yule mama angepiga kelele angepakaziwa mwizi ingekuwaje? Kwenye Biblia hata Yusuph aliwahi singiziwa
Suala la Yusufu na huyu kijana ni tofauti. Kwani Yusufu alikimbia na hakufanya kitendo.....
 
Kushtaki anaruhusiwa kabisa labda akwame katika kuleta ushahidi, kama kosa hilo ni kosa kabisa hata kama alikubali au yeye ndiye aliyemuomba hilo jimama, kwanza kwa mujibu wa sheria huyo ni mtoto ana miaka chini ya 18, suala la alikubali au hajakubali hapo halipo, sheria zinakataza za nchi Sheria Namba 04 ya 1998 The Sexual Offence Special Provisions Act, kifungu ngoja tupekue!Inaweza kuwa ni Sexual Exploitation au Grave Sexual Abuse, tutapekua!
 
Back
Top Bottom