Nimepewa namba ya simu na Demu

Ndo nini kuja kunisema huku kaka angu, wala nilikuwa sina mbaya kukupa hiyo namba, si unakumbuka tulisalimiana vizuri tu. Ukanionesha unapokaa na mi nikakuambia napo kaa? Sasa baada ya kuona sisi ni majirani ndo maana nikakupa hiyo namba. Dah mi nilijua ujirani ni mzuri tu na kuwasiliana kwa ishu za kijirani kwangu mm sio kosa.

Nisamehe sikujua kama litakupa shida namna hii. Pole sana kaka angu.Ifute tu, kumbe ndo maana huku ni beep?
Dah Nisamehe!!

Lakini nashukuru nimejifunza!!!
 
Pole sana LD
 
Kuwa mkweli mkuu haiwezekani ukasalimiana na mtu tu kisha akakuambia chukua number yangu bila sababu,labda kama kuna issue nyingine mliongea,otherwise acha kutudanganya hamna mtoto hapa!
 
Sijasema nimechekewa nimesema nimepewa acha kuwa JEALOUS
Kenge wewe!!!!

Eh, kuna kenge humu JF, ina maana wewe uliomba ushauri kwa wana JF na kenge? Anaweza kuandika kweli kenge? au neno kenge lina maana mbilli.
 
Ok... Huyu demu ni jiran..na haya maeneo ninayokaa ni upanga huku majirani hawasalimiani.... Sasa huyu demu alikuwa chuo miaka 3 toka amerudi ana kama mwezi 1... Ndio maana
nikashangaa kusalimiwa na kupewa namba

Kwa kuwa katoka chuo hivi karibuni, ndio maana bado ana ushirikiano aliokuwa nao kule Chuo kwenye group discussion. Bado tabia yake nzuri hajachakachuliwa na maisha ya Upanga.
 
Wana Jf kuna jirani yangu hapa
Mtaa wa maweni ni bomba sana,
midume karibu yote ina mmezea mate,na ni msomi ametoka chuo karibuni,
Asubuhi leo wakati naenda grocery nikakutana nae akanisalimia halafu
akaniambia chukua namba yangu, mpaka sasa hivi nina maswali kibao
Siamini kupewa namba na ninaomba
ushauri wenu hivi kupewa namba ya simu ni ishara ya nini?

ni ishara ya kuombwa vocha.
 
ndo nini kuja kunisema huku kaka angu, wala nilikuwa sina mbaya kukupa hiyo namba, si unakumbuka tulisalimiana vizuri tu. Ukanionesha unapokaa na mi nikakuambia napo kaa? Sasa baada ya kuona sisi ni majirani ndo maana nikakupa hiyo namba. Dah mi nilijua ujirani ni mzuri tu na kuwasiliana kwa ishu za kijirani kwangu mm sio kosa.

Nisamehe sikujua kama litakupa shida namna hii. Pole sana kaka angu.ifute tu, kumbe ndo maana huku ni beep?
Dah nisamehe!!

Lakini nashukuru nimejifunza!!!
pole sana ,hapo boflo kachemsha even though i think u were kind of interestin to him ld.
Achana naye ,it seems he doznt deserve u .
 
We Boflo a.k.a kitafunwa umesema mmekutana tu kibahati sasa hiyo namba aliiandika saa ngapi au alijuwa mnakutana,alafu akupe namba bila maelezo yoyote hainiingii akilini.
Kwenye club kama Bils/Maisha kuna kinadada wanaojiuza huwa wana vikaratasi vyenye jina na namba zao ambazo huwapa wanaoona wanaweza kuwa wateja wao.
 
Wana Jf kuna jirani yangu hapa
Mtaa wa maweni ni bomba sana,
midume karibu yote ina mmezea mate,na ni msomi ametoka chuo karibuni,
Asubuhi leo wakati naenda grocery nikakutana nae akanisalimia halafu
akaniambia chukua namba yangu, mpaka sasa hivi nina maswali kibao
Siamini kupewa namba na ninaomba
ushauri wenu hivi kupewa namba ya simu ni ishara ya nini?

Kabla sijakushauri nipe hiyo namba kwanza.
 
Wana Jf kuna jirani yangu hapa
Mtaa wa maweni ni bomba sana,
midume karibu yote ina mmezea mate,na ni msomi ametoka chuo karibuni,
Asubuhi leo wakati naenda grocery nikakutana nae akanisalimia halafu
akaniambia chukua namba yangu, mpaka sasa hivi nina maswali kibao
Siamini kupewa namba na ninaomba
ushauri wenu hivi kupewa namba ya simu ni ishara ya nini?

Boflo, au wewe ndio umetoa/unataka kutoa namba yako nini?
 
Back
Top Bottom