You are new here...njuka :becky::becky:
So what?
You are new here...njuka :becky::becky:
Hili ni zuri na bora liwe hivyo tu mchango without any preconditions.. usije kugeuka kuwa mkopo. Wakajikuta anayechangia zaidi ndiye mwenye sauti zaidi kama "fulani"... good job!
Dr. Slaa jicho limemtoka!
No research no right to speak.Kwanini unataka kulazimisha assumptions kuwa facts?Umeandika mwenyewe kuwa "inawezekana",implying huna hakika...na pia iinachowezekana kinaweza pia kuwa hakiwezekani...lakini wakati huohuo unakurupuka kudai huu ndio ushahidi.HIzi za sabodo zilikuwa zinapitia mgongoni mwa mtu toka nje
Kwa hiyo inawezekana hata mfuko wa mama Salima Kikwete uliosaidiwa na Sabodo ni kutoka nje?Itakuitaji muda mrefu kufikiria na kuconnect dots membe na sofia wanachosema kina ukweli ndani yake. inawezekana wahisani wa nje wanapitia migongo ya wengine kusponsar vyama, na inawezekani hii imeanza muda mrefu.
Mzee Sabodo amekuwa akimwaga hela kwa CDM kwa muda mrefu na mara nyingi. Je wahisani wamepitia kwa sabodo kuipa nguvu cdm?
Naweza kusema hii ni moja wapo ya ushahidi wa cdm kupokea mkwanja toka nje
![]()
:msela::msela: