Walimu na manesi ndio wanawake wa kuoa?

Walimu na manesi ndio wanawake wa kuoa?

Wanachosha kidogo hawafai kabisa eti kazi, dini, kabila na mengine kibao

Alafu hao hao wakijagundua kazi sio mtu watakua wa kwanza kulia kwamba walimu na manesi hawafai!!!
 
Alafu hao hao wakijagundua kazi sio mtu watakua wa kwanza kulia kwamba walimu na manesi hawafai!!!

Wanakuja na ooohhh manesi wanakwenda night wanaliwa na madokta wakishashindwa tayari
 
Wadau nashukuri kwa michango yenu, mliokwazika na swali hasa kina mama poleni.

Kumbuka kuuliza si ujinga anayeuliza anataka kujua.
 
Wadau nashukuri kwa michango yenu, mliokwazika na swali hasa kina mama poleni.

Kumbuka kuuliza si ujinga anayeuliza anataka kujua.

Mie umenikwaza sana maana mimi sio mwalimu wala nesi na ukoo wetu hatuna watu wa hivyo na wengi wameolewa na wamedumu kwenye ndoa zetu.

Ili mradi umeona kuwa umetukwaza nimekusamehe
 
Wadau nashukuri kwa michango yenu, mliokwazika na swali hasa kina mama poleni.

Kumbuka kuuliza si ujinga anayeuliza anataka kujua.

Kuuliza sio ujinga ila maswali mengine ni ya kijinga!!!
 
Tatizo la manesi ni zamu za usiku wakati ambao wanahitajika saaana kwa mume.
 
Mjinga hawezi kutambua ujinga!!!Ni sawa na kumuuliza kipofu rangi nyekundu ilivyo!!

Twende zetu kule kwa Papizo bana huyu mpotezee anataka kupandisha watu hasira kwa nguvu sana potezelea kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom