Masanja aendelee hivo hivo coz najua Mungu nae Ana sense of humor so Kama amkufuru kwa comedy bas najua na Mungu atakuwa anafurahi pia kwa jinsi Masanja anavyo tumia kipajo cha kulitukuza jina lake hail Masanja. Piga kazi bro n don't forget to make more money.
Ivi kipi kibaya kati ya mtu kuto ridhika akiwa ndoani na kuchepuka au kutoridhika akiwa kwenye mahusiano na kwenda kutafuta mwingine ambae si ajabu wataridhishana na wakaoana kwa furaha zote. Let's be realistic tusisongwe na maandiko ya vitabu au dini zetu. Tufikilie kwa kina.
Nyinyi nyote sasa ndo makafiri, maana nashangaa mnavo gombania hizi dini za wenzetu.
Ambazo sifa na misingi yake ni kulainisha roho za waafrika, na kuwatawala kirahisi. Dini safi hii hapa, Mpende kila mtu, msaidie masikini na asiyejiweza, heshimu kila mtu hata mtoto mdogo, mpende Mungu Sana kwa...
Ama kweli ule usemi kuwa maskini wanaweza wasiende mbinguni naona unafanyiwa kazi maana wao ndo kila kukixha wanawaza kuwasema wenzao, wakati matajiri hata hawazi hivyo ye ni wapi nitapata pesa, wap nikapumzike, wapi nikawasomeshe wanangu, mke namna gani nitaoa nk. Lkn masikini ndo huu upuuzi...
This is shit maan mtu anasema eti accepting herslf na bunch of brah brah kibao wakati anajua kabisa ni maneno ya kujifariji tu.. Let's be realistic jaman maisha ya kucopy kutoka kwa watu haya mmh, haya Mrs substance endelea kusubiri Kama utampata huyo Mr substance Kama atakuja..
Tusiongozwe na ushabiki APA tangy nimeanza kusoma comment za watu nimegundua kuna pande mbili zinakinzana hapa, kwanza kuna ukiba na diamond humu. Jaman Hawa watu wote ni wazuri kila mmoja kwa nafasi yake.
Speaking ya song ya FA mi huyu jamaa sijawahi kumchukia wala kuona akifanya kazi mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.