Ni kweli nchi hii imeishi kwenye misingi ya kujitegemea au ni misaada ya wahisani

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,736
2,000
Kuna waziri anajibu swali la mmbunge wa longido bwana laizer,waziri huyu anajibu swali hili kwa niaba ya waziri mkuu.Waziri huyu anajitapa eti hii nnchi inafanya miradi yake kwa kujitegemea.

Mkulu wakati kila siku anapaa kwenda nnje kuomba misaaada.Ina maana waziri huyu hajui kila kitu hapa ni kwa misaada ya wahisani.sitaki kuwatoa katika kampeni ya kudai chetu ila nahitaji ufananuzi tu ni kweli tumefikia hatua tumeweza kujitegemea?
 

ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,406
0
Hata namskia anavyo payuka hapa....Mwanasiasa hasa hawa wa chama cha kijan sio wa kuamini hata kama ni mke wako!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom