Wekeza katika miti ya mbao uwe milionea kwa muda mfupi

Wekeza katika miti ya mbao uwe milionea kwa muda mfupi

prof kaji

Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
50
Reaction score
0
Mimi Ni DALALI wa (a)kuuza miti iliyo tayari kupasua mbao
(b)miti ya kuanzia mwaka 1,2,3,4,5,6,7 ya kuitunza mpaka ikiwa tayar kupasuliwa
(c)aridhi tupu ya kupanda miti
(e)mbao za jumla za kuuza
(f)aridhi pamoja miti
SHAMBA NI KUANZIA HEKARI 1 NA KUENDELEA WASILIANA NAMI 0752870197 AU 0652292289
 
unauza miche?
utaalam?
unanunua ya mwaka mmoja?
 
Mimi Ni DALALI wa (a)kuuza miti iliyo tayari kupasua mbao (b)miti ya kuanzia mwaka 1,2,3,4,5,6,7 ya kuitunza mpaka ikiwa tayar kupasuliwa (c)aridhi tupu ya kupanda miti (e)mbao za jumla za kuuza (f)aridhi pamoja miti SHAMBA NI KUANZIA HEKARI 1 NA KUENDELEA WASILIANA NAMI 0752870197 AU 0652292289

Hizo biashara sa matajiri wasio na mawazo kusubiria faida miaka 5,ila sisi malofa ni week tu.
 
unanunua miti au ardhi kwa kiasi kidogo arafu baada ya miaka michache unavuna mbao na kujipatia mamilion
 
Watu wengi hudhani uwekezaji wa mashamba ya miti unalipa kirahisi, sio kweli. Ni kazi ngumu na risk kubwa ni MOTO, yaani omba moto usiingie kwenye shamba lako la miti maana utakufa kwa presha ile miti ya pines inawaka kama imetiwa petroli.
 
hata ww unaweza @ bukoba boy jiamini ,ni kiasi kidogotu kuwekeza
 
kuwaka moto@GP ni ajar kama ajar nyingine sawa na kusema `siwez kununua gar kwa kuwa mda wwte laweza kupata jari' au kusema siwez kuwekeza katka duka kisa et MAJAMBAZI waweza kuja na kuiba..... huo ni ufinyu wa mawazo na hata hatuwez kuendelea kiuchumi
 
Back
Top Bottom