Recent content by AVRAM

 1. AVRAM

  Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

  @Bata batani nimekuelewa vizuri sana.
 2. AVRAM

  Sisi vijana wa Kusini mwa jangwa la Sahara tuwe na nidhamu (self discipline) kwenye maisha

  East Africa Community, najaribu kuotea tuu, na kama ndivyo kulingana na hadhi na kiasi cha mishahara ya taasisi ile sishangai kwako kuzipotezea ndoto na mipango yako na kutujumuisha vijana wa kaskazini mwa jangwa la sahara kuwa hatuna adabu na nidhamu katika maisha na eti ndio sababu hupotea...
 3. AVRAM

  Ni course gani naweza kusomaa kwa matokeo haya?

  Dogo kafanye BSc. Economics. wala usihangaike kujitutumua kwenye mambo ya Afya ama engineer, fanya iyo kitu na jitahidi kufaulu vyema, na ukipata nafasi wakati unasoma hii course changanganya na optuonal course za finance na investments kutegemea na nafasi ya muda pamoja na chuo unachosoma...
 4. AVRAM

  Hizi ni Series ambazo zimenishinda kabisa

  Katika kila series utakuta kuna mambi flani ya kitoto ila nyengine zimezidi
 5. AVRAM

  Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

  Kiongozi uzi unahusu moto kariakoo hawa uamsho wanabusika vipi? Acha uzandiki na sarakasi za bandia.
 6. AVRAM

  Bamileke: Kabila la Cameroon linalopingwa nakuogopwa na makabila mengine; ndio hao wanataka Cameroon ijitenge

  Watanganyika mumeharibu uzi, baana ya kuwa tumepata taarifa mumeweka na dhana ya ukabila humu
 7. AVRAM

  Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

  Uzalendo ni hoja ovu ya kisiasa inayolenga kudunisha mawazo changamano ya ukuzaji uchumi wa Tanzania kupitia Wanadiaspora wake. Wanasiasa ndio wahuni wanaotisha na kuogofya wananchi kuhusu Hoja ya kuanzisha uraia pacha Tanzania na wala sio wananchi wanaohofu uwepo wa uraia pacha Tanzania.
 8. AVRAM

  Nina wazo la kipekee sana litakaloanza hivi karibuni ila nina hofu kubwa sana

  Premature Business Idea - PBI. TAFADHALI CHUKUA HATUA vyenginevyo utawadha na hatimae kufa na Ideas zako bure bure bila ya jata kuwafaidisha wapendwa na maadui zako
 9. AVRAM

  Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

  Unakufuru kiongozi, yaani unataka uuwe kiumbe kinachotayarishwa na Mungu kuja duniani. Unapaswa kujiuliza wewe ni nani. Unaeweza kuingilia Mipango ya Mungu kugharibi anachokileta duniani. Huyu baby anaekuja ana nafasi yake hujui atakuwa na atakuja na nini. TAFAKARI.... CHUKUA HATUA Sent from...
Top Bottom