Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,043
Mkuu utabisha lakini naweza kukwambia asilimia 80 ya Wacameroon walioishi TZ toka mwaka 2010 nawafahamu, hata sherehe zao nimeudhuria sana. Na wana chama chao wana raisi na mweka hazina. Uwa wanakutana kucheza mpira kule mbezi. Wanakuja wanaondoka wengine wako France, wachache wamerudi, ni watu ambao wanahama hama tu nchi. Huyu nayekwambia kawa raisi wao kwa muda mrefu ingawa sasa si raisi tena yupo hhapa tanzania toka mwaka 2003. Lakini mcameroon anayetambulika kama alitangulia kufika hapa na wanamheshimu wengine kama mzee wao anaitwa Papa yusuph na wapambe wake walikuwa akina Papa Msofe kabla hawajashika pesa.Sasa wewe muongo. Tusibisha please