Nichokoze nikusambaratishe kichwa, mimi mtaa mzima wanajua kama ninaumiliki moto, kuna vijambazi uchwara vilitaka kureta ujinga kwenye nyumba ya jirani yangu ambae ni mfanya biashara, aisee nilipiga moja juu vile vijambazi vilisambaratika... Nilipata ujiko sana siku hiyo hapa mtaani kwangu...
Katika majina ya wagombea wote waliokosa vigezo vya kugombea uenyekiti SM wametoka upinzani, je upande ule wao wote wako timilifu yaani hakuna hata mmoja wao aliyekosea japo kidogo iwe kujaza fomu au kukosa vigezo?
Yaani kupitia kauli zake na hoja zake kunaonesha hali fulani ya kujiamini, yaani tokea akiwa madarakani hata baada ya kutenguliwa nimemsikia akisema hajapewa barua ya termination.
Tofauti na matarajio kuwa angekaa kimya na kutafakari uelekeo mpya hasa baada ya kibarua chake kukoma, bado...
Nakumbuka ilikuwa ni mara ya kwanza kwenda kuandikishwa shule, nilipelekwa na mshua ila kwenye process za kuniandikisha kuna sehemu aliniacha nje ya ofisi ya mkuu wa shule kwenye bench, wakati nimekaa kwenye lile benchi nje kwenye ofisi ya mkuu wa shule baba akiwa ameingia ndani kumilisha baadhi...
Imekuwa ni kawaida kusikia majina ya kujimwambafai kwa jinsia ya kiume kama vile Mashine,mkuyenge,duduwasha,juma kipara wazi,muwa,muhogo wa jang'ombe,n.k hata namna ya kutamka haileti shida sana hapohapo ukimsifia kuwa mashine yako ni kubwa huwa ni sifa kubwa.
Lakini hali imekuwa tofauti kwa...
Nilisema ni vigumu sana kwa lijamaa ambalo mkuyenge wake umepita kwenye kisu cha ngariba halafu aje autelekeze yaani asiutumie kama inavyotakiwa, eti autelekeze halafu aanze kubonyezwa yeye kunako 0712
Imekuwa kawaida kwa mwanaume kumtamani binti ndani sekunde chache baada ya kumuona kwa mara ya kwanza na anaweza akawa teyari kuvunja nae amri ya sita muda huo huo. Sasa kwa jinsia ya kike hali huwa ipoje?, huwa ikichukua muda gani kumtamani mwanaume kimapenzi baada ya kumuona kwa mara kwanza?
Kuna katabia kamejitokeza yaani mteule mmoja akitoa amri fulani mwingine anakuja anapinga ama hadharani au kwa njia nyingine.
Kumekuwa na kujirudiarudia kwa haka katabia, sasa hivi vijitabia vina ashiria nini? Na athari yake ipoje kwa umma wanao-uhudumia
, viongozi hawa wanatuchanganya sisi...
Aisee nakumbuka ilikuwa asubuhi mapema kabisa jua kabla halija chomoza niliamshwa na mshua akanipeleka mtoni kuoga maji ya baridi baada ya hapo tukaendelea na safari ya kwenda kwenye nyumba ya mzee fulani hivi maeneo ya pale kijijini, ghafla nikakuta kuna watoto wengine wa rika langu nao...
Kulikuwa na wimbi kubwa sana la vitabu na na notes mbalimbali vilivyokuwa vimechapishwa na na kutungwa na Nyambari Nyangwine, ilikuwa si rahisi kwa mwanafunzi unayejua kujitafutia material/notes halafu usivitumie vitabu vya Nyambari Nyangwine.
Kutokana na harakati za kipindi hicho hasa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.