Wateule kupingana wao kwa wao kunaashiria nini?

asiyetabirika

Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
46
Reaction score
56
Kuna katabia kamejitokeza yaani mteule mmoja akitoa amri fulani mwingine anakuja anapinga ama hadharani au kwa njia nyingine.

Kumekuwa na kujirudiarudia kwa haka katabia, sasa hivi vijitabia vina ashiria nini? Na athari yake ipoje kwa umma wanao-uhudumia

, viongozi hawa wanatuchanganya sisi wana wa nchi.
 
Hiyo Ndio demokrasia Mkuu
CCM lumumba
tapatalk_1571851230700.jpeg
 
Kuna katabia kamejitokeza yaani mteule mmoja akitoa amri fulani mwingine anakuja anapinga ama hadharani au kwa njia nyingine.

Kumekuwa na kujirudiarudia kwa haka katabia, sasa hivi vijitabia vina ashiria nini? Na athari yake ipoje kwa umma wanao-uhudumia

, viongozi hawa wanatuchanganya sisi wana wa nchi.
Kuashiria kujikweza na unafiki ''Lack of coordination'' maana halisi nikwamba zile semina elekezi wengine waliambulia kapa ''swali fikirishi je hizi semina elekekezi huwa zina mitihani kupima km hao viongozi wamelewa somo''
 
Back
Top Bottom