Recent content by asfa mbekenga

  1. A

    Kajala, mwanae wazua "GUMZO" Mlimani city

    Kusema za ukweli kabinti ni karembo kana natural beauty hata hakajanyoa nyusi...hebu kaangalieni tena mara mbili mbili utadhani LuLu....
  2. A

    Kuhusu mahakama ya kadhi

    wingi si hoja! cha msingi ni kutetea yaliyo ya msingi katika kuhakikisha kila mwanadamu anafaidi matunda ya nchi yake. mwaweza kuwa wengi sawa lakini...............nisaidie kumalizia.
  3. A

    Kuhusu mahakama ya kadhi

    ukisikia kubugi leo ndo umebugi mkuu.... Yaani watu waache kujadili vitu vya maana waanze kubishania mahakama ya kadhi humo bungeni.... hicho ni kipengele kidogo ambacho kitapitishwa tu bila hata mjadala...... na mambo mengine yataendelea. kakwmbia nani mahakama ya kadhi ni udini? kaigoogle...
  4. A

    Mzimu wa ajali: Basi la Upendo Coach na Super Feo yagongana leo

    mbona madereva ni hao hao, miundo mbinu ileile spidi zile zile za miezi yoote... why ajali zitokee kwa mkupuo na zifuatane?......
  5. A

    Kinachoibeba Mzumbe university na kuonekana ni bora

    Halafu mnavokuwa mnalinganisha hivyo vyuo vyenu hebu kiweke UDSM pembeni kwa Tanzania na Afrika mashariki nzima hakuna kinachokifikia kwa ubora... kwa maana kwa utafiti wa mwaka 2013 kilikuwa chuo cha 4 Afrika kikizidiwa na vyuo vitatu vya south Africa tu..... Endeleeni na mjadala wako wa Mzumbe...
  6. A

    Huyu mwanamke simuelewi

    Askutishe mtu ndugu yangu... Ni kweli wasichana especially tusiokuwa wavivu mchana kupokea cm ni bahat na cbu labda ucku...yaani unavoamka asubuhi ukaiacha simu kitandan au kabatini ndo basi mpaka umalize shughuli za nje urudi ndani ndo uishike tena waweza kuta mixd calk ila uliacha chakula...
  7. A

    Nini chanzo cha wanandoa kuwa na mahusiano maofisini

    Good post mwana jf.... Hivi hao mabosi wana wake au hawana?... nao ni nn tatzo?
  8. A

    Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

    Nina mashaka na chuo ulichomaliza dogo kwa maana kama utafiti wenyewe ndo huu ni hatari saaaana yaani huna hata jirani anayevifahamu vyuo na sifa zake akakujuza???????? Hujui kitu chapa lapa kuropoka sio lazima...
  9. A

    Picnic ya wanajamiforums

    Am interested... Give the schedule plz
  10. A

    Nashauri waziri Magufuli ashtakiwe

    Jamani mbona mimi cku sio nyingi nilisoma habari kwamba tz imeshinda kesi inalipwa fidia ya sh billioni sita na kumiliki ile meli ya kichina??? Ss vipi kesi imerudiwa?......
  11. A

    Kisa ni cha kweli sio hadithi pitia

    Msubiri huyo mchumba wako aje then mwambie real stuation usimfiche halafu yeye ataamua kama muendelee naye atamlea mwanao au aachie ngaz mwenye mtoto aolewe... Hapo mtaelewana ila ukiacha aje kuyatoa mtaani itakukost ndugu yangu... Kuwa muwaz atakuelewa tu maadam anakupenda.
  12. A

    Bukoba kila mwanafunzi ana iPad

    Sawa kakosea aliyetuma hiyo post ila na wewe usimkosoe kwa kukosea.... Kama hujui jambo nyamaza tu mwambie ndugu umekosea... Ww unatupotosha zaidi........aghhkh!
Back
Top Bottom