Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Status
Not open for further replies.
ud will remain the i con of our national within the country and abroad!thats all,wote waliosoma nje ya chuo hiko in one way or another they had a dream of being there bt it wasnt luck to them!
 
Mimi nilikuwa na div 1 ya 12,kutoka st anthony Mbagala nikajiunga DIT walimu na viongozi wa shule yangu(St Anthony) walikuwa wanashangaa kwa nini sikwenda v na vi nikajiunga DIT,darasa lilikuwa na wanafunzi 25 tu kwa kozi nzima na hakuna aliyekuwa na div II,ni I na kuendelea,Nilipata taaluma ambayo sasa kujikima kimaisha naweza kuona tofauti kati yangu na wale walionda v na vi.SI kweli wanaoenda DIT wamefeli sijui kuhusu IAA,fanya tafiti tena.

aaa.. wap... we n boya..
ndo maana
 
Mkuu hapo umeongea ukweli,huyu jamaa inawezekana amesoma kile chuo cha majigambo na wazee wa chabo kwenye pepa!namuhakikishia kwamba kama angesoma IFM au IAA huyo angedisco mziki wa pale acngeuweza.muulize wanafunzi gani wanaofanya vizur kweny soko la ajira?au mwambie afuatilie mitihani ya bodi ya uhasibu(CPA) thn ndio atajua statistics ya wanafunzi waliotoka vyuo vip ndio wanafanya vizur.aache upumbavu wa majigambo yacyokuwa na maana.UDSm labda sheria tu ndio wamebakia nayo na bado Tumaini wanawakimbiza kwenye soko!!

achen . kujtetea upuuz IFM n vilaza bna iyo
inafahamka. waliopo pale .n .wa .kawaida. tu xo .. msjfanye... hamuelew..
 
ARDHI vp????? Naona kama wengi hawakijui 🐒🐒🐒🐒🐒
 
Mmh. Chuo changu hakpo anywhere, sa sjui haki exist bongo hii au sijui kitakuwa kimehama. Au hakina sifa yoyotee
 
Nina mashaka na chuo ulichomaliza dogo kwa maana kama utafiti wenyewe ndo huu ni hatari saaaana yaani huna hata jirani anayevifahamu vyuo na sifa zake akakujuza???????? Hujui kitu chapa lapa kuropoka sio lazima...
 
jamani udom raha,kozi zenye wanafunzi wengi assgmt one ndio hiyo hiyo assmnt two na hiyo tct one ,two,na UE
 
acha ku support mainstream media,,kwa diploma kuingia pale inabidi uwe na c flat and above in pcm,,,sa nakushangaa mama,,mimi nilichaguliwa pale na nilikuwa na one ya kumi o -level from technical school na nikakutana na vichwa balaa na sasa hivi ni potential people in different organizations na nation,,,pia kijana wangu anaenda hapo diploma ana one ya kumi na tatu,,hebu jaribu kwenda uone?

Mimi pia nilipita DIT miaka ile ya 1997 division one za Bwiru Boys,Moshi Tech, Iyunga Tech, Tanga Tech, Mtwara Tech, Ifunda Tech nk. Kumbuka hawa ni wadau wa PCM na hakukuwa na combination nyingine. Wengi wa watu wa shule hizo za ufundi ( nadeclare mimi nikiwemo) hesabu zilikuwa timam na kuchagua Tech College ilikuwa ni kwa sababu tuliandaliwa tangu kule Secondary. Wengi wa walimu na au ndugu zetu walitushauri kusomea kazi badala ya kusoma secondary tena. Na kweli faida zake nimeziona. Ijapokuwa mimi division one yangu ilikuwa ni point14 bado nakumbuka tulikuwa na jamaa kutoka Bwiru Boys na point 7 walikuwa watatu tena mmoja alifanya na mtihani wa Advanced Maths na akapata A! Baba yake alikuwa ni Engineer hivyo akamwambia nenda college kama chaguo sahihi.

Kwa kweli wakati naripoti pale DIT tuliambiwa Division One zako zinaishia getini na ukiremba tunakula kichwa na unadisco. Kumbuka hapo tumetoka sekondary ambapo mfumo ni tofauti na college, mambo ya discontinuation yalikuwa mageni na zile supplementary.

Nakumbuka kabisa tulipiga msuli hatari, warembo wa pale CBE unawaangalia tu ukikumbuka masomo kama Mechanics, Engineering Maths( by Gupta, Stroud) nk ilikuwa si mchezo.

Huwez kuamini mmoja wa wale division one ya point 7 matokeo yake hayakuwa mazuri paper la mwisho na hivyo division one iliishia getini kweli. Nasikia kaunga unga hadi kaenda St. Joseph( am sorry to say chuo zoa zoa ili mradi pesa tu)!

Hivyo nahitimisha kusema wengi wa tuliochagua Tech College wakati ule tulikuwa na uwezo wa kwenda F6 lakini option hiyo ilikuwa ni namba mbili. Mwisho wa siku wenzetu waliopitia F6 tumekutana tena UDSM na au makazini kwa level ya Uhandisi. Sema kama unataka ungwini na mambo tofauti na Engineering ni vema upitie F6 kwa maana ya wigo tu mpana wa machaguo ya degree na Siyo vinginevyo nikimaanisha uwezo wa kichwa. Kumbuka Technical Secondary schools zilikuwa ni vipaji maalumu Category Two na wengi ni vipanga wa hesabu.
 
Kaka unabisha vitu ambavyo hujui mimi nilipata div 1 pts 12,nilisoma pure mathematics ST Anthony Mbagala(kwa wale waliosoma st anthony&Shaaban Robert& AL-Muntazil au Aga Khan wanafahamu nazungumzia nini)
na nilichagua kwenda DIT.

Sijui huyo anaekubishia anabisha kitu gani. Halafu mwingine anakuambia eti ungeenda F6 ili uende CoET, sasa sijui anakulazimisha nini! Wewe ulipendelea kupata ujuzi na siyo kusoma sekondary tena. Mwisho wa siku baadaye utaamua kufanyakaz kwanza au kwenda CoET au popote. Sasa yeye amekariri tu ukasome Chemistry tena ili iweje? Kama una uwezo wa kusomea kaz kwa nini upoteze muda? Mitaala ya Ujeruman ukishamaliza secondary kinachofuata ni diploma- Advanced- PGD- na kuendelea
 
Humu jamii forums kila mtu amepata div 1 na kila mtu amesoma course nzur na ana kazi,uongo mtupu,kama una kazi kweli ucngepata muda wa kushinda jamii forum mchana kutwa na ucku kucha,..udanganyifu tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom