Kisa ni cha kweli sio hadithi pitia

Kisa ni cha kweli sio hadithi pitia

Naomba maombi yako yasisikilizwe hata kidogo.. Staki kumkosa mchaga wangu na mtoto wangu tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tena nakuombea huyo mtoto asiwe wako
Iwe ni njemba nyingine ilipiga kisela ikaacha na mimba
 
Pole sana! Kazi unayo. Ila mimi nakushauri kama kweli una mtu na huna mpango naye usiendelee kula mzigo. Pia usiende kwao. Kwanza unaenda kwao kama nani! kama mkwee au nani! Ila kampatie huduma stahiki za mama mjamzito (na maanisha) matumizi ya lazima na baadaye kutoa matumizi ya mtoto.
Wito: baki njia kuu, michepuko siyo dili.
 
Sijisikii kukuonea huruma, ingawa huyo dada nae amenichefua atajilengeshaje kwako wakati ulimwambia una mtu? Na kwa nini wazo lake mbadala baada ya wewe kuonyesha kusuasua liwe kuchoropoa mimba?

Kutomwambia kwamba unampenda na hali unazini nae sio sababu ya kujifanya eti humpendi, mpaka mkapima HIV inaonyesha ni kwa kiwango gani mlikubaliana na matokeo ya ngono zembe.

Nadhani ni muda mwafaka kumwambia mchaga wako kwamba umeshavuna ulichopanda na akae kando nawe humfai hata kidogo.

Lea mimba, na jiandae kuwa baba, hizo ndo faida za michepuko zembe.
 
unacho kifanya kwa hao wanawake juA na ww unandugu wakike na unauzaz pia xa lingekua la nduguzo ungefanyaje

Mary mm nimeshajuta peke yangu nakuna kichwa hapa..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Yaani wakati wakata mauno huko wala hukushea na sisi hiyo mijiraha...

Ushavurugwa waja mbio kutusumbua eti tukupe ushauri...

Hivi wewe hujui kuwa dushelele ikiingia kwenye uke na ikatoa mbegu kuna uwezekano wa mimba kutokea??

Lea mimba hiyo na usije muharibia maisha huyo binti mwingine asiyejua hila zako...
 
Hapan mkuu we fanya ujanja mbn kuchepuka uliweza na sister hakujua? We nend kwao sema.we nd mweny mzigo rud naye mujin afanye yke ila mtt wako usimsahau

Mh mkuu unajua sio kazi rahisi any way ngoja nitalifikiria na hili..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Man...itabidi upoteze kimoja hapo..kati ya mtoto au mchaga.. You won't both, I assure you
 
hadithi nazo zilikuwaga visa vya kweli ujue, kwaio hata hii inaweza kuwa hadithi tu.
na hata hivyo mwezi wa tisa bado siku 6,,sikia bora tisa iliyopo, kuliko kumi nenda urudi.
 
Pole sana! Kazi unayo. Ila mimi nakushauri kama kweli una mtu na huna mpango naye usiendelee kula mzigo. Pia usiende kwao. Kwanza unaenda kwao kama nani! kama mkwee au nani! Ila kampatie huduma stahiki za mama mjamzito (na maanisha) matumizi ya lazima na baadaye kutoa matumizi ya mtoto.
Wito: baki njia kuu, michepuko siyo dili.

Kweli mkuu kuna umuhimu sana wa kubaki njia kuu..!! Kwenda kwao kweli itakua hatari sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Man...itabidi upoteze kimoja hapo..kati ya mtoto au mchaga.. You won't both, I assure you

Hapo unaposema nipoteze kimoja yani ndo unanimaliza nguvu kabisa mkuu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sijisikii kukuonea huruma, ingawa huyo dada nae amenichefua atajilengeshaje kwako wakati ulimwambia una mtu? Na kwa nini wazo lake mbadala baada ya wewe kuonyesha kusuasua liwe kuchoropoa mimba?

Kutomwambia kwamba unampenda na hali unazini nae sio sababu ya kujifanya eti humpendi, mpaka mkapima HIV inaonyesha ni kwa kiwango gani mlikubaliana na matokeo ya ngono zembe.

Nadhani ni muda mwafaka kumwambia mchaga wako kwamba umeshavuna ulichopanda na akae kando nawe humfai hata kidogo.

Lea mimba, na jiandae kuwa baba, hizo ndo faida za michepuko zembe.

kosa nimetenda ila kumwambia mchaga sio leo wala kesho..!! Nipe ushauri staki kumpoteza mchaga

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
ungekuwa unampenda kwel huy mchaga wala ucngechepuka nakuombew uwakose wote mchaga na mtoto
 
Daah kwanza pole. Nahisi jiandae tu coz kuna kitu (mtu) kimoja lazima ukipoteze
 
Habari wana jamvi…!!! Huu ni mkasa wa kweli kabisa na nipo njia panda mpaka sahivi sijui cha kufanya. Nipo kwenye mahusiano na mtoto mkali kweli wa kichaga na tunapendana sana, tumekuwa na mipango na future nzuri tu. Tumevumiliana kwenye shida na raha japo yeye bado anasoma na yupo mwaka wa mwisho. Yeye anakaa Arusha ila anasoma hapa Dar kwenye chuo kimoja. Sasa chuo kilipofungwa si akaenda likizo kwao na likizo hiyo ikaambata na field ya muda mrefu akaniacha hapa dar…!! Bwana weeeh kama ilivyo kawaida kiasili wanaume wengi ila sio wote tamaa ikaja nilikutana na demu mmoja nilikua nakaa nae kitaa na alikua jirani yangu kipindi iko nakaa home kwa wazazi nayeye pia alikua ameshahama kwao anajitegemea so wazazi wake na wangu wanafahamiana vizuri wana urafiki wa kawaida tu. Basi dem sikumtongoza ila tulibadilishana namba za simu tukawa tunawasiliana dem nikilmkaribisha getho anakuja. Alinipa historia ya maisha yake baada ya kupotezana kwa miaka mingi alikua na mtoto mmoja wa kike ila alikua hajaolewa bwana ake baada ya kumpa mimba na mtoto akazaliwa akazuga zuga kama kawaida akakimbia na kumuacha ila hela ya matumizi ya mtoto wake anapeleka kama kawaida kila mwezi. Tukawa marafiki anakuja getho na mm naenda kwake mara moja moja… sikutaka kumtongoza nilitaka siku akija getho nipige tu coz sometime tulikuwa tuna kunywa whisky, wine akiwa anakuja getho. Kuna siku nikalazimisha nikaishia kula mate…..!! siku zilivyokwenda nikamuomba game hapo sijamtongoza wala kumwambia nakupenda akawa staki nataka nikaona anazingua ngoja niachane nae nikawa nampotezea sasa ila kila siku lazima apige simu na kutuma sms sometime najibu ila sometime napotezea….!! Kuna siku akakasirika kwann siimjibu sms zake wala kupokea simu yake nikamwambia nipo tite sana na kazi akasema atafuta namba yangu mimi nikamwambia asifute ila anivumilie tu. Basi bwana siku, miezi ikapita nimeshaanza hata kumsahau ilikua ijumaaa mida ya saa 12 jioni mchepuko ukapiga simu upo wapi nikamwambia nipo getho akanambia napitia hapo nakuja.!! moyoni niksema leo lazima nikumalize ikishindikana leo basi naaachana kabisa na wewe. Nikaenda kuoga fast nikaandaa kondom za kutosha na nikapika chakula changu pale nikijiandaaa kumgegeda uyu kiumbe. Niliposhiba vizuri mtoto akaja siku hiyo hata sikupata tabu nilimshughulikia vya kutosha na alifurahi basi ikawa ndo mchezo wetu na tukakubaliana tukapime na tulivyopima tukajikuta tukawa fresh yani ikawa kama dozi kumbuka sijawahi kumwambia nakupenda. Basi kuna siku akaniuliza hivi unanichezea au unanipenda nikamjibu kwanza nina mpenzi yupo nje ya dar anarudi mwezi wa tisa ukae ukijua hilo nikamwambia tutaendelea hivi hivi akija itakua basi maana nay eye bwana ake wa zamani alikua anamsumbua so nikahisi pia watarudiana tu. Muda ukazidi kwenda nikawa nakula mzigo navyotaka safari hii nikawa naenda kwakwe pale kwangu nikamwambia haiwezekani kuja tena maana kuna mtu anafahamiana na mtoto wa kichaga so ataharibu mambo. Ilileta utata ila akaelewa kwa utata sana na vitisho juu so nikawa naenda tu kwakwe kula mzigo na kusepa..!! Basi mambo yakawa mambo Yule mchepuko akanambia ana mimba tukaenda kupima kweli alikua ana mimba ya mwezi mmoja akawa anataka kutoa mm nikamwambia asitoe nimeukubali yeye akasema sawa hataitoa hii mimba iwapo tu nikubali niende kwa wazazi wake nikajitambulishe moyoni nikasema labda ardhi ipasuke ndo naweza kwenda.. Nikamwambia si unakumbuka lakini nina mtu inawezekana kweli mm kufanya hivyo nikamwambia lea mimba itakua siri baada ya mwaka mmoja kila kitu kitajulikana na kitakuwa wazi kwa kila mtu na mm nitakupa ushirikiano wa kutosha kabisa.. Basi akakataaa akanitishia kutoa nikambembeleza wapi mwsiho wa siku nikamwambia uamuzi ni wako sasa ila siwezi muacha mchaga wangu ila nipo tayari kumkubali mtoto yeye akasema kama staki kwenda kwao anatoa nikamjibu utakua uamuzi wako sio wangu… sasa mchaga wangu anakaribia kuja na mchepuko umenambia umekubali mawazo yangu kuwa atafanya siri kwa mwaka mmoja ila sasa simwamini nahisi atakuja kuniharibia makusudi.. naomba ushauri hapo wadau nifanyaje
Hivi kwann kila story zenu za kutunga lazima zihanze hoo! na soma chuo furani au hanasoma chuo furani. Kiukweli sijawai kuhona mtu hanajishusha. Kwamba kondakta wa daladala la mbagara ,fundi viatu ,muhuza mitumba karume ,mvubuwa mitaro kariakoo,dereva boda boda
Na nyingine nyingi tu kazi mbaya mnazohona nyie kuzitaja hutajishusha .hina baki stori hooo ! Niko ,bot,tra ,tpa . .mbona husemi nimesoma veta au niliferi form 4 nahizo kazi nilizozitaja hapo mwanzo.vijana tuhachane na sifa za kijinga .mdaa au kusubiri.
 
Daah kwanza pole. Nahisi jiandae tu coz kuna kitu (mtu) kimoja lazima ukipoteze

Acha umalaya michepuko sio dili, ulijidai njia kuu kuna foleni sasa pole yako unachepuka bila kuvaa hata viatu we noma.Kama mchepuko wako unakaa jiran na hapo kwako lazima mamaa akija ajue sasa jiandae kusuka ama kunyoa maana lazma kimojawapo kipotee hasa huyo demu wako maana atakuona huna uaminifu
 
Msubiri huyo mchumba wako aje then mwambie real stuation usimfiche halafu yeye ataamua kama muendelee naye atamlea mwanao au aachie ngaz mwenye mtoto aolewe... Hapo mtaelewana ila ukiacha aje kuyatoa mtaani itakukost ndugu yangu... Kuwa muwaz atakuelewa tu maadam anakupenda.
 
Acha umalaya michepuko sio dili, ulijidai njia kuu kuna foleni sasa pole yako unachepuka bila kuvaa hata viatu we noma.Kama mchepuko wako unakaa jiran na hapo kwako lazima mamaa akija ajue sasa jiandae kusuka ama kunyoa maana lazma kimojawapo kipotee hasa huyo demu wako maana atakuona huna uaminifu

Mkuu banki, hiyo comment ni yangu ama??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom