Habari kwenu.
Inasikitisha sana unakuta mama wa makamo anagawa mbunye kwa vijana wadogo, ikiwa ni pamoja na mabosi wao ili wapandishwe cheo, pia unakuta ni mke wa mtu.
Hata wadada wakawaida wenye ndoa nao wanagawa uroda kwa yeyote atakae katiza. Wengine wakiaga wanaingia shift za usiku kumbe ndiyo wanaenda kulala gesti na wanaume.
Kinachonishangaza zaidi wengine wanajua kabisa fulani anatembea na fulani lakini na wao wanajiingiza bila hofu. Nazidi kushangaa zaidi kwani baadhi ya wadada wana kazi nzuri hivyo fedha si tatizo lakini bado wanagawa uroda bila kuogopa.
Je hili hufanyika kwa sababu tayari mtu ameathirika na HIV anahitaji kuambukiza wengine?Au hawatoshelezwi na wenzi wao?Au ni tamaa ya fedha?Au malezi mabovu kimaadili?Au ni kulipiza visasi baada ya kugundua mwenzi wake hajatulia?
Karibuni kuchangia mada.