Hivi nikiwauliza mmelijuaje hili mwaweza nipatia jibu linaloridhisha??
nasikiaga story
jamani mimi nimesema nilichosikiaga jamani... asinisikilize mimi ..Waweza mpotezea mwenzako njiwa wake kwa kuwa tu umemshauri habari usikiazo...sio vizuri hivyo!!!
Una bahati umependwa na Askari wa Usalama barabarani(Traffic). Mchna anashinda Mataa au unataka akupigie Kwa radio ko.
He he he he(kicheko cha bi chau).
mimi sina ushauri kabisaaa
Una bahati umependwa na Askari wa Usalama barabarani(Traffic). Mchna anashinda Mataa au unataka akupigie Kwa radio ko.
Hhhhaaaaaa
mambo mdada?