Recent content by asali tamu

  1. asali tamu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwanasa wafanyakazi hewa wa Serikali

    Kaz wanayo
  2. asali tamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi mwenye mtoto, ni kweli wanaweza wakaachana na mzazi mwenzie?

    Kwa huyo ukaribu walionao zat is too much...mm huwa c amini kama wanaachana it doesnt matter how many years it will take
  3. asali tamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    dahaa hata kuvumilia cjui utavumilia mpk lini pole sana jaribu kuongea nae kwa Mara nyingine uone
  4. asali tamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    alimwaga mboga umemwaga ugali....upo sawa usijilaumu kwa ulichofanya
  5. asali tamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimetoa talaka na nimerudi kwenye dini yangu

    cjaelewa umeandika nn...nonsense
  6. asali tamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa huyu mama

    ndoa ndoano hatuamini bora liende,
  7. asali tamu

    JamiiForums Tanzania Nini kinafata TCU baada ya kutoa Post?

    wamedai tar22 mwez wa 9
  8. asali tamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naamini kwamba mtu hukumbukwa kwa mazuri yake

    Apo umenena, kuna wengne bora wapite tu maana hamna cha maana alichokufanyia
  9. asali tamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeumia sana baada ya mwanamke kunichezea na kuniacha

    Kakuona huna jipya, jipange tena hahaahahaha
  10. asali tamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi simpendi mke wangu

    Mkw wako ana maneno sana, sasa hapo kazi unayo, huyo ndio tabia yk hawez kubadilika, pole sana
  11. asali tamu

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afia kambini JKT Tabora

    Pole kwa familia ya halima, mungu akupumzishe kwa amani, amina
  12. asali tamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandishi sikusoma wala picha sikuona

    Ujumbe wako umenigusa so sad, umenikumbusha mahusiano yangu ya past, mm mwy niliona nikimbie mapema
  13. asali tamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananizidi umri!

    Hamna tatzo fungeni ndoa
  14. asali tamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mkubali mkatae mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe

    Hata mwanamke na yy anataka kubembelezwa, na hao wanaweza kufanya hyo kaz ni wale ambayo hawana kaz za kufanya
  15. asali tamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepoteza ndoa tatu kisa mtoto , njoo umchukue, ntakuja kumtembelea kwako

    Mwanao ndio rafki yk, ndio kila kitu kwako,ucje ukamsaliti mwanao kuwa nae popote, uwenda ukimpa baba yk utajuta mtoto atateseka
Back
Top Bottom