Tujifunze kwa huyu mama

Tujifunze kwa huyu mama

hakuna kuaminiana sasa hivi.....mie anko wetu amefariki kwa ajali.....na alipofariki mambo yake mengi ndiyo yamegundulika.....alikopa mil 30 hata mkewe hajui.....na haijulikani hiyo hela kapeleka wapi......kwahiyo ndiyo hvyo.........

Mkiona hamuaminiani basi ujue hamfanani! Usipomuandika mkeo au mumeo kuwa ili aje kuwa mrithi wa mali zenu na kuendelea kuzitimiza ndoto za watoto wenu unategemea nani mwingine atachukua nafasi hiyo??

Haya kama huyo mjomba wako kwa kukosa uaminifu inawezekana ndoto za watoto wake kafa nazo!! Faida yake nini sasa??
 
Kumbe ndo maana ukamlalia kwa 130 kwamaana mumewe hakuwepo, kwa hiyo ndo umekuja kutuonyesha furaha yako sio? Bahati yako kwamaana huyo mwanaume angekuwepo hapo ungekula m 60 tu.

Kuonyesha furaha????Mwenye mtizamo chanya hawezi kusema chochote. Nafikiri ni elimu zaidi kuona ndani ya ndoa mume na mke wanafahamiana mapungufu yao lkn maendeleo wanashirikiana.
 
Mwalimu wa mwanamke ni mwanaume. Kwa jinsi anavyoishi na wewe anakufunza jinsi gani ya kumhandle na kuhandle mambo yako. Ukiwa na mwenza ambae akiona ukitaka kufanya kitu anakukatisha tamaa wakati huo huo hana alternative bora zaidi, kum_bypass ni muhimu.

Tena dawa yake huyo ilikuwa kumuambia huyu jamaa ana shida nampa hela kidogo kidogo. Ni sawa na ukiwa na mke ambae akikusikia una hela kidogo tu anaanza kupanga matumizi yasiyo na tija. Ukimsapraizi kila kitu maisha yanasonga mdogo mdogo
 
Tatizo kubwa ni kwamba hakuna muongozo kwenye ndoa katika masuala ya pesa. Hii hupelekea kila mtu kujifanyia anavyowaza. Na suala kubwa si uaminifu bali zaidi ni namna watu walivyolelewa kuhusu masuala ya fedha. Ukikutana na mwanaume ambaye baba yake alikuwa hashirikishi familia kwenye pesa usitegemee yeye atafanya hivyo hata kama anamuamini mkewe vivyo hivyo ukikutana na mwanamke ambaye mama yake alikuwa anafanya mambo yake pembeni ni rahisi sana na yeye kuwa na tabia hizo.

Exactly, you have said!! Kuoana bila kujua background ya unayekwenda kuishi nae ndiyo chanzo cha yote haya!! Unaoana na mtu amekulia kwenye familia ina uchoyo balaa, unategemea nini?? Umeoana na mtu katoka kwenye familia wazazi si waaminifu na watoto ndo wanatumwa kwenye michepuko, unategemea nini hapo??

Familia hizi, wazazi hawaaminiani na watoto hawataamini wenzawao badae dooh!! Kazi ipo
 
Kila m1 anafanya kazi kwa ajili ya mambo yake. Kumshirikisha au kutokumshrikisha ni maamuzi. Pesa yyangu niombe kibali kwa mtu mwingine nimelogwa au??? Ila nitakuwa muwazi kwa kuwa na mwanasheria ama kupeleka doc kanisani/msikitiniqofisi ya kijiji ya kuonesha vitu vyangu nisijekufa ghafla zikasepa wanangu wakaambulia ushuzii.
 
Hello mashoto lol

Kote hakuna kuaminiana, mnakua mpo mpo tu

Kumbuka huyo ni husband not a boyfriend,fiance or mchepuko tu. He is a life partner. Kasome kiapo cha ndoa kwenye vitabu vya dini ili uelewe nini namaanisha.
 
Exactly, you have said!! Kuoana bila kujua background ya unayekwenda kuishi nae ndiyo chanzo cha yote haya!! Unaoana na mtu amekulia kwenye familia ina uchoyo balaa, unategemea nini?? Umeoana na mtu katoka kwenye familia wazazi si waaminifu na watoto ndo wanatumwa kwenye michepuko, unategemea nini hapo??

Familia hizi, wazazi hawaaminiani na watoto hawataamini wenzawao badae dooh!! Kazi ipo

Exactly hilo ndilo tatizo kubwa. Lazima kuwa na maadili ktk malezi. Otherwise mnaweza kufanya maamuzi hayo na familiar zetu hizi za kiafrika. Mtu mmoja akifariki wazazi wanaingilia kati. Nafikiri mwanaume wanahitaji kubadili mitizamo na kuibadili.
 
Aisee kumbe ni wewe! Yaani nakwambia utarudisha hela yangu! Mimi nilikuwa nimemwambia wife anifichie kwenye akaunti yake mambo yapite! Wewe umakuja kumrubuni na tukiwanja twako! Nakwambia mtarejesha hizo fedha!
 
Wana MMU....Jumapili ni siku ya familiar.

Tunaweza kujifunza maisha ya upendo kupitia kwa mama huyu ambaye nilimuuzia kiwanja maeneo ya Mbezi chenye thamani ya million 130.

Huyo mama ni advocate, baada ya maelewano na maamuzi ya kuamua kununua kiwanja,kitu cha kwanza kukifiria, aliniambia HATAWEZA KUMWELEZA HUSBAND wake mpk hapo atakapokamalisha ununuzi. Nilimuuliza kwa nn?? Asiweze kumshirikisha mumewe?? Alinijibu, anamwelewa husband wake vzr maana ataanza complain kwa nn anunue kiwanja kwa bei kubwa......Baada ya siku tano, tulikamilisha mauziano na kusign mkataba na kulipana pesa bank.

Kitu cha ajabu ambacho sikukitegemea, mkataba wa mauziano ulikuwa na majina mawili. Hii ina maana yeye huyo mama na husband wake ndiyo wanunuzi wa hicho kiwanja. Ingawa pesa ametoa wife tu. Na baada ya siku tatu husband wake alipelekwa na kuonyeshwa kiwanja na mikataba yake.

Je kwa nini wanawake wengi ndani ya ndoa hawawezi kufanya kama huyo mama?? Je kwa nn wanaume hawapendi kuwashirikisha wake zao mambo yao mengi ya maendeleo.? Tatizo nn??:?

kuna kitu kinaitwa hofu ya kukataliwa,huyo mama anajiona hana furaha iliyokamilika kama hatamshirikisha mume wake.

pia ni vizuri ukaelewa maana ya mume na mke nayo itakusaidia kuelewa chimbuko la hofu kwa huyo mama linapotokea.

Ni mambo ya kawaida kukuta mwanamke anamuandika mumewe katika hati,ila ni utamaduni kwa wanawake wengi kulazimisha waandikwe wao au watoto katika mali za ndani ya nyumba.
 
Wana MMU....Jumapili ni siku ya familiar.

Tunaweza kujifunza maisha ya upendo kupitia kwa mama huyu ambaye nilimuuzia kiwanja maeneo ya Mbezi chenye thamani ya million 130.

Huyo mama ni advocate, baada ya maelewano na maamuzi ya kuamua kununua kiwanja,kitu cha kwanza kukifiria, aliniambia HATAWEZA KUMWELEZA HUSBAND wake mpk hapo atakapokamalisha ununuzi. Nilimuuliza kwa nn?? Asiweze kumshirikisha mumewe?? Alinijibu, anamwelewa husband wake vzr maana ataanza complain kwa nn anunue kiwanja kwa bei kubwa......Baada ya siku tano, tulikamilisha mauziano na kusign mkataba na kulipana pesa bank.

Kitu cha ajabu ambacho sikukitegemea, mkataba wa mauziano ulikuwa na majina mawili. Hii ina maana yeye huyo mama na husband wake ndiyo wanunuzi wa hicho kiwanja. Ingawa pesa ametoa wife tu. Na baada ya siku tatu husband wake alipelekwa na kuonyeshwa kiwanja na mikataba yake.

Je kwa nini wanawake wengi ndani ya ndoa hawawezi kufanya kama huyo mama?? Je kwa nn wanaume hawapendi kuwashirikisha wake zao mambo yao mengi ya maendeleo.? Tatizo nn??:?

Cku hz ndoa za kuaminiana hazipo tena imekuwa co ishu kuachana tena ghafla mchepuko ndo fashen cku hz kila mtu anajiwekeza kivyake
 
Wana MMU....Jumapili ni siku ya familiar.

Tunaweza kujifunza maisha ya upendo kupitia kwa mama huyu ambaye nilimuuzia kiwanja maeneo ya Mbezi chenye thamani ya million 130.

Huyo mama ni advocate, baada ya maelewano na maamuzi ya kuamua kununua kiwanja,kitu cha kwanza kukifiria, aliniambia HATAWEZA KUMWELEZA HUSBAND wake mpk hapo atakapokamalisha ununuzi. Nilimuuliza kwa nn?? Asiweze kumshirikisha mumewe?? Alinijibu, anamwelewa husband wake vzr maana ataanza complain kwa nn anunue kiwanja kwa bei kubwa......Baada ya siku tano, tulikamilisha mauziano na kusign mkataba na kulipana pesa bank.

Kitu cha ajabu ambacho sikukitegemea, mkataba wa mauziano ulikuwa na majina mawili. Hii ina maana yeye huyo mama na husband wake ndiyo wanunuzi wa hicho kiwanja. Ingawa pesa ametoa wife tu. Na baada ya siku tatu husband wake alipelekwa na kuonyeshwa kiwanja na mikataba yake.

Je kwa nini wanawake wengi ndani ya ndoa hawawezi kufanya kama huyo mama?? Je kwa nn wanaume hawapendi kuwashirikisha wake zao mambo yao mengi ya maendeleo.? Tatizo nn??:?

Huyo ni mwanamke wa ukweli! Mwanamke anaejitambua na mwenye confidence kimaamuzi ni asset kubwa sana katika mahusiano!
 
na wewe hiyo 130m uloipata umeweka kwenye joint account?
Au unataka tujifunze sie tu wakati wewe hujajifunza?
 
Back
Top Bottom