illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 701
Utakuta mtu kweli ulikuwa nae pamoja labda ni Mpenzi /Mume /Mke
Hata rafiki ikatokea siku akasafiri kwa muda mrefu au akakuacha.
Kwa mimi ninaamini kuwa licha ya kuwa mapenzi yaliyokuwamo kati yenu wawili ila Mtu hukumbukwa kwa Mazuri aliyoyatenda.
Mpenzi au Mume au mke mkiachana au akiwa mbali.
Unaweza kumkumbuka zaidi na kila wakati kujutia kuachana au uwepo wake mbali endapo kama mazuri yake yamezidi mabaya yake aliyokutendea.
Unaweza ukawa na mtu kila ukitafakari lipi zuri alilokutendea zaidi ya kutaka papuchi hakuna.
Unaona kama ni safari bora abaki huko huko kwanza au kama ni mmeachana bora tuu mlivyoachana sababu kila mkikaa ni tafrani moyoni, akiwa nyumbani ugomvi, mikaripio, migubu, hana msaada wowote, upate mawazo useme upo na mwenzangu hata huoni mchango wake.
Ila kuna mwingine ukitafakari unaona dahh bora ingewezekana kurudiana nae sababu labda alikuwa akikubembeleza, akikujali kila ulipojihisi upweke au mawazo, akikuongelesha kwa maneno mazurii etc
Ndio maana utakuta mtu anasema dah katika hali hii laiti Fulani angelikuwa nisingekuwa pata shida mimi au angekuwa ananiliwaza.
Natamani kama turudiane.
Hasa hawa ni baadhi ya wanaume wanatabia ambayo hata ukitafakari hukumbuki zuri lake hata moja…BADILIKENIIII…