Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Hili ni la uzoefu! Baada ya kutoka kazini nikapitilizia kwa shehe kuuliza taratibu za talaka kiislamu nikaelekezwa, mtoto wa kiume nikamkutae mama mkwe (maana baba mkwe, wife sikuwakuta) nikampa makavu (kauli ya talaka kwa maneno na kwa barua, ingawa aliikataa barua, lakini amewafikishia ujumbe).
Kila ndugu akapewa taarifa kwa simu, na shehe akakubali. Nimeirudia dini yangu ya Ukristo nilimmiss sana Yesu Mnazareti! I feel very released and ready to mingle the nightlife again wouuh! Kimbembe sasa, wife kakimbilia kwa bamdogo, na bamdogo ananiita kesho huko na mimi kwa hatua hii siruhusiki tena, niende au nisiende?
Kama unajua comment yako ni "kwanini uliwahi kuoa?" "shule zimefunguliwa?" "hawa watoto wa siku hizi!"ndugu, usijaze server maana nitakupuuza tu.
Karibuni