Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
hawa jkt wanawatesa sana watoto,hata posho tu hawataki kuwapa ati wanaogopa watatoroka lakin zaid wanasema kabisa kuwa mafunzo yanakuwa yamekolea kama mmoja ya wanafunzi kafa...no there must be some weakness some where...kama ni maleria inamaana sehem nyeti kama hiyo(JKT) inakuwaje hawana utaratibu wa matibab mm naona wanaboa sana hawa hasa pale niliposkia hata posho tu shida hadi saban za kuogea shida jaman na hku wanafanya kazi za uzalishaji kwa aslimia 75...so irritating kwakweli....