Maandishi sikusoma wala picha sikuona

Maandishi sikusoma wala picha sikuona

Huwa nazisoma mapema na kila nikiandaa njia ya kutokea basi anarudi kimya kimya. Sijui malaika huwa wanamwambia
 
Ujumbe wako umenigusa so sad, umenikumbusha mahusiano yangu ya past, mm mwy niliona nikimbie mapema
 
Wengine hadi wananyeshewa na mvua ila bado hawaamini kuna mvua....
Kama mwanzisha mada seemingly alikua anajitahidi kufunika viashiria vya wazi.

Watu wengi wanaogopa kutoka kwenye mahusiano, sio kws kuwa wanapenda sana. Binadam hatupendi mabadiliko hali inayofanya tung'ang'anie hata vinatuumiza.

Yote tisa 10 ni hiyo namba moja lazima uulize maswali mengi ili kumjua mwenzio na kama hukuridhika na majibu yake basi unasepa tu badala ya kujiingiza mahali ambapo kuna kila dalili ya kuumizwa moyo wako. Dalili za mvua ni mawingu, ukiona mawingu yametanda basi usisahau mwavuli ili kujikinga na mvua vinginevyo itakula kwako.

 
Last edited by a moderator:
Mwanadada hawezi tu kukubali uwe kwenye list ya watu wake kama hakupendi isipokuwa kwa sababu ya pesa. Tukiweza kufunga mirija ya pesa kwa muda kidogo tu mengine yote yatajitokeza...
 
Kuna watu wanajua kutunga uongo wa kujitetea hadi unaamin. Hata hivyo mtu kama una mpenda unakuwa na resistance kidogo ya kuachana naye. Unaona kama utapoteza kitu flani ambacho you are not ready to lose. Mpaka yakufike shingoni to late...maumivu kibao.
 
Mapenzi haya!!
Hizo dalili ungemsimulia mtu angekwambia kuna tatizo mapema tu ila kwa vile ulikuwa penzini ni ngumu kuona tatizo.
Ni kama kuuguza mgonjwa tu,ukiwa na uhusiano naye wa mbali ni rahisi kujua amefikia mwisho wa uhai na soon atakufa ila kama ni mgonjwa wako unajipa moyo tu kuwa atapona mpaka anakata roho huamini kuwa kweli amekufa!!!!
Ni shida!!
 
Back
Top Bottom