Recent content by arsenal2004

  1. A

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Na mwaka huu tunabeba ubingwa kwa penetration pass...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Flano ligi imeanza mkuu....ULI relax sana mda wa makasiriko umerudi....Manunu mpk mwzi wa 12 ndo tutajua kama mnagonbea top 4 au mnagonbea top 10
  3. A

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hawa jamaa ni wazuri sana kwny kuota ndoto za mchana🤠🤠....mechi ya kwanza tyri wanna GD ya negative.....wamebutuliwa kwlikwli leo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Iran inaripotiwa kusimamisha mazungumzo na Marekani kuhusu mashambulizi ya Israeli dhidi ya Lebanon

    Huwa sizungumzi na machizi....sijaku quote....kaa mbali na mm mkuu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Iran inaripotiwa kusimamisha mazungumzo na Marekani kuhusu mashambulizi ya Israeli dhidi ya Lebanon

    Kuna taarifa zinazoendelea kwamba waajemi wameshawaambia mabwanyenye wa kule maandishi matatu kwmba wana bomu la atomiki tyri.....ndo maana hzi siku kadhaa kiranja wa Dunia amekuwa hatoi vitisho Tena anaongea kwa upole sana....na anasema angependa kukutana na Ayatollah mpya🤠🤠🤠.....sasa kama ni...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Naona Gordon kaondoka shehe🤠🤠...tunamaliza leo UEFA kesho tutakuwa mlangoni kuja kumchukua Tonali....mbaki na yule mvunja matofali Bruno mzee wa vurugu....kale kakikundi pale St James Park ni ka kukavunjilia mbali muanze upya....
  7. A

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mkuu labda una mapenzi binafsi....ila kwa muda alopata wa kucheza Martinelli mpk sasa....kiukweli kabisa kwa pale Arsenal uwezo wake umeishia pale....yaani hafundishiki zaidi....akienda ligi nyingine atang'aa ila sio EPL....aondoke aje Rodgers wasaidiane na trossard pale
  8. A

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Uza-Martinelli, Jesus, Norgaard, Ben White Nunua-Morgan Rodgers, Alvarez, tonali na beki namba 2 mzuri... Kuna timu zitakuwa haziji uwanjani....msimu huu tumehangaika kwa kuwa ule upande wa kushoto kulikuwa na mamburula...Rodgers aje ku compete na trossard na pia ni namba 10 mzuri....tonali...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mnataka kumuuzia nani haya matatizo🤠🤠....wale wahuni wa ureno waliwachapa pesa ndefu kwlikwli....na bdo nadhani hamjamaliza kulipa hadi leo....hyu mbaki nae aje kuwa anacheza na kina Hull city mechi moja kwa wiki msimu ujao....ndo vtu anavyoweza....
  10. A

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hawa msimu ujao lolote liwakute....ikiwezekana wamalize nafasi ya nane huko wakacheze conference league kabisa
  11. A

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hyo ndo tunamtaka aje....mwenzie kipara kaona mambo yasiwe mengi kala unyoya....hyo Klopp na midevu yake ndo ataanza kulalamika mapema kabisa....kufufuka kwa Livakuku ni mpk apatikane Salah kijana vinginevyo kwa winga ya yule muuza maji wa uholanzi....mtasubiri sana
  12. A

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kama rahisi na ww beba mkuu....nyny ni makubwa jinga ya hivi sasa...mara ya mwisho kubeba ligi mabomu ya gongo la mboto ndo yalikuwa yanalipuka...kazeni miguu msimu ujao....ila UEFA itakuwa na majina ya ajabu msimu ujao....Mbeumo sijui Dialo mara Kunya huku Kobe Mauno....yaani vurugu tafrani
  13. A

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Walivyokusanyana hapo utadhani wana discuss mbinu za maana vile🤠🤠....kumbe wanapanga mipango ya kumfukuzisha kocha
  14. A

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Endeleeni kugombana.....ila msimu ujao ukifika unganeni Tena muamze kutuombea njaa....maana hyo ndo kazi mnayoiweza....kiukweli kabisa.... Chelsea hawatakiwi kucheza hata ndondo cup ya Ulaya....msimu ujao inatakiwa wabaki mulemule Uingereza wawe wanazungukazunguka tu....kucheza na kina Fulham...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ila sasa naanza kuelewa kwnini watu walikuwa hawataki sisi tushinde hii ndoo....kiukwli kabisa sisi tuna vurugu sana....yaani tuna nongwa kishenzi....na ikitokea UEFA nayo tukaiteka....hakyanani Kuna majukwaa hmu wataishi kwa tabu sana hasa wanangu wa Manunu🤠🤠🤠
Back
Top Bottom