Ni kweli hapo kuna jambo limefichwa, baada ya lile tukio TBC waliongea na Naibu Waziri Mambo ya ndani, alichokuwa anaeleza ni kama Chadema Ndiyo wameamua kuwatoa wale wafanya biashara,
"Serikali iliyoopo ni ya Chadema kwa hiyo hao ndiyo walio fanya maamuzi hayo" Hii ni Aibu.
Huyu mama alisha sema yeye ni mhasibu "by proffesional", " procedure" za kihasibu zinasema hivi,kama umeasaini karatasi ya mahudhurio ndiyo itakayo kuwa msingi wa hayo malipo kama kiambatanishi cha malipo. sasa mheshimiwa Zitto atahudhuria kikao kama kawaida lkn hatasaini kitabu cha...
Ndiye aliyeandika ufisadi wa loliondo miaka ile!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wakati tuna gazeti linaitwa mfanyakazi sijui siku hizi lipo sina hakika kashfa za ufisadi zilianza siku nyingi
Itieni mamlaka iliyopo duniani,utakatifu unaongelewa ni kuwa mwaminifu na siyo kuwa fisadi yaani kutumia madaraka uliyo pewa na wananchi kujinufaisha ndiyo maana ya mahali patakatifu. fikiri kabla ya kueleza jambo
NI ufafanuzi tu.
Ni jambo la kuchekesha na kufarahisha hivi waliofanya kazi ya kwamba watanzania tumeibiwa si walikuwa ni waingerza na kama nakimbuka kuna waziri katika serikali ya uingereza alijiuzuru sababu ya hizi pesa tulizoibiwa akiwa anatutetea sisi watz, leo serikali yetu inakuwa na kimbelembele kuwa hiyo...
Mambo mengine falsafa yako nimeeipata mkuu,Kwa kifiupi ni kuwa blabla zimekuwa nyigi sana kinachoongelewa si ndicho kinaccchotendwa pole sana ndiyo yaliyofanywa na wananchi na kuchakachua .
alifanya ziara ktk wizara zote huko hakutoa maelekezo nadhani pale dodoma ilikuwa ni conclusion ili tuone amefnaya kazi kbwa huo ni wizi na matumizi mabaya ya pesa hasa kodi za wananchi au hawapi job Description wanapo apa. Mimi naona kama ni usanii tu, alafu alionekana mkali kweli lakini...
Waathirika wakubwa ni wakulima wa zao la kahawa Ambao benki iliamua kuchukua pesa ya serikali kufidia madeni wanayodaiwa baada ya kudorora kwa uchumi. Na hli lilkuwa kinyume kabisa na agizo la rais aliyetaka hawa wakulima wawezeshwe ili waendelee na kilimo.Wakulima wa Mbozi waliathirika sana na...
sawa mkuu lakini tatizo la ufisadi upo serikalini na siyo kwenye chama na huko ndiyo wananchi hasa wazalendo wanalalamika hizi deal za kuiba bado zitaendelea gamba lintakiwa litolewe serikalini ni kichekesho kutoa siku 90 kwa fisadi awe amejitoa kwenye chama na huo ufisadi alio ufanya serikalini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.