Ni kina nani walinufaika na pesa za Stimulus Package? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kina nani walinufaika na pesa za Stimulus Package?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maimai, Apr 15, 2011.

 1. M

  Maimai Senior Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu kama mkirejea kwenye ripoti ya CAG (2009/2010) imeonyesha blanda katika matumizi ya shilingi bilioni 48 ambazo hazijakaguliwa.

  Taarifa ni kwamba CRDB is one of the beneficiaries leo wanatuambia wamepata faida.... hapana wamekuwa subsidized na pesa zetu za serikali.

  Ndulu anaficha ukweli kuwa ni nani alinufaika.. Number ONE is CRDB kwani Kimei ni mwananchama wa CCM alitumika katika kuchangisha pesa za campaign ya CCM mwaka jana.. so ni mwanachama wao hai kabisa na anavizia u-gavana wa benki baada ya Ndulu.
   
 2. M

  Maimai Senior Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  KUNA TAARIFA KWAMBA KIMEI NI MMOJA WA BENEFICIARIES WA STIMULUS PACKAGE.. HATA MAFANIKIO YA MWAKA JANA YAMETOKANA NA TAXPAYERS MONEY.., 48 BILLION WENT ONTO crdb TO COVER IMPAIRED LOSSES DUE TO GLOBAL FINANCIAL CRISIS.

  KIMEI NI MWANACHAMA WA CCM NA ALISHIRIKI KATIKA KU-FUNDRISE PESA ZA CCM ARUSHA MWAKA 2010 KABLA YA UCHAGUZI..

  TUMUANGALIE HUYU KIMEI ANATAKA NDULU AONDOLEWE BOT ILI AINGIE.....
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mtandao wake ni mpana kuliko unavyofikiri wacha aendelee kutuibia siku yake ikifika tutam-bagbo!
   
 4. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  Dear Maimai, unaonekana una mengi ya kutuhabarisha juu ya Kimei/CRDB in relation to 48,000,000,000TShs. za Stimulus Package ila ni kama vile ulikuwa unakimbizwa.

  Hebu tulia tupe zaidi ila avoid kuweka habari yenye element za chuki binafsi na Kimei kama ulivyotaka kuanza.
   
 5. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jamani hili si jambo la kukalia kimya maana hii ni EPA katika mtindo mwingine lazima tujue nani alikula nini na lini na zimeishia wapi na sie tumenufaika vipi maana kila kukicha maisha yanazidi kupanda yaani afadhali ya leo kuliko kesho hapana kabisa.
   
 6. M

  Maimai Senior Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Its true... According to Benno Ndullu..one bank ilipewa shilingi bilioni 60 kwa ajili ya kuongezea liquidity ya benki isi collapse. Nina uhakika kwamba CRDB ilikuwa na mikopo ipatayo bilioni 120 ambazo wakopaji akiwemo RA walishindwa kuzirudisha kutokana na Global Economic Crisis (2008-2009). RA ni baadhi ya wakopaji kwenye sekta ya madini na miradi mingi haikuweza kuanza kutokana na wawekezaji wengi kukosa pesa za operations.

  CRDB, NBC wamo katika listi ya beneficiaries wa Stimulus package....Hata faida waliyoipata mwaka 2010 imetokana na boos up za stimulus package.. Sasa tunaelekea wapi kama watu wanafanya uzembe harafu serekali inawafidia.. mbona wakipata faida hawakumbuki kui-support govt kutokana na ukata? Cha kushangaza ni kwamba Kimei mwenyewe akidhani kwamba atakuwa gavana wa benki kuu.. tuwe makini sana na watu hawa... kiasi chenyewe alichopata Kimeo (CRDB) ni Tsh60.54 billion ambazo zilienda kutunisha reserves za benki hiyo ambazo ziliporomoka kwa kasi sana mwaka 2009-2010. Ukitoa faida yao ghafi ya mwaka huu.. the real profit before tax ingekuwa ni bilioni 8 tu.

  Wengine ni NBS- Tsh15 billion, Citibank (Tsh5 billion), Standard Chartered (Tsh10 billion). Nimejaribu kum-tress source wangu pale BoT amanithibitishia hilo.. but more will be coming soon... full list of illegal beneficiaries.
   
 7. W

  WFM Senior Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  tanga kwetu

  Yap, umenena mkuu. CRDB inakopesha almost 90% ya wafanyabiashara wa pamba, na sehemu kubwa ya hiyo Stimulus Package ilipelekwa huko. Hivyo, makampuni yalifidiwa kwa kupata hasara iliyosababishwa na mdororo wa uchumi na CRDB walipewa mapesa ili wasimamishe riba kwa hayo makampuni. Hapa ndo kuna "Game" imechezwa kikwelikweli.

  Maskini, Tanzania yetu na Chama Cha Magamba sijui kama tutafika? CDM, please hapa kuna ufisadi wa ajabu semeni na wananchi, ikiwezekana makampuni ya ukaguzi ya kimataifa (PWC, Delloite n Touch, Ernst n Young, etc.) yapewe hii kazi maana CAG wanamzingua kwa kuwa wao ndo wamemweka pale.

  Kuna ufisadi mwingi tu ambao bado uko covered ndo maana Presd & PM hawajui kwanini sisi ni Maskini.
   
 8. A

  Anyambilile Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waathirika wakubwa ni wakulima wa zao la kahawa Ambao benki iliamua kuchukua pesa ya serikali kufidia madeni wanayodaiwa baada ya kudorora kwa uchumi. Na hli lilkuwa kinyume kabisa na agizo la rais aliyetaka hawa wakulima wawezeshwe ili waendelee na kilimo.Wakulima wa Mbozi waliathirika sana na hli zoezi.
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  CRDB all over again....!! EPA wao, Richmond wao, and if am not mistaken; Meremeta napo pia wanahusika. With all these fraudulent transactions exchanging hands at the firm, surely this must be one of the most corrupt banks in the country!!
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Duh! Bila mambo haya G8 itaishije? Ngoja nichukue jembe nikapalilie pamba yangu mnanijaza mijipresha bure.
   
 11. d

  dotto JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kampuni ya waziri wa zamani wa kikwete ambaye ni mbuge kwa sasa nayo ilifaidika pale mwanza. but it was hewa no real mtikisiko wa uchumi.
   
 12. igwana123

  igwana123 Senior Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mmhhhhhh
   
 13. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwani hamjui zilitumika kusaidia kampeni za CCM kwenye uchaguzi uliopita?:angry:
   
 14. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ukiingia kwenye website yao utashangaa kukutana na hili Report Fraud - Blow the Whistle.
  Uripoti uharamia wa JK, EL, RA kwa corrupt Kimey. Mafisadi wametengeza organized network ya kuliibia Tanzania, their only problem is to forget to cover their ass
   
 15. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  siku jk alipotamka huo mpango nikajua ni epa hiyo!na kweli jamaa wenye ma ginnery ya pamba wamehama hata shinyanga na mwanza,nao wanaishi masaki siku hizi
   
 16. a

  asagulaga Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mambo mengine kama chuki binafsi vile. Tunahitaji facts sio kuanzisha vitu ambavyo havina ushahidi wowote.
   
 17. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  This is serious a private bank inakuwa subsidies na serikali. Au ndio ilikuwa bailout ya kimya kimya ili CRDB isicollapse? Maana nasikia Kimei alifanya madudu nusura CRDB icollapse serikali wakaibailout kimya kimya pengine ndio ilikuwa hivyo.

  Sio wazo baya kama ni hivyo maana ni hatari kwa uchumi wa nchi mabenki yakicollapse but waliohusika kwa vitendo hivyo wanahitaji kuwajibishwa.
   
 18. Bob

  Bob JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 10, 2007
  Messages: 277
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kimei will never ever be the BOT Gavana.
  Japukuwa na kujipunguzia umri, officially he is approaching 60years will margin of error 2years. He will not qualify for the public office post by that time.
  Asahau.
   
 19. m

  mvua magamba New Member

  #19
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani me nafikiri tunachanganya mambo mawili hapa.

  Moja ni maisha binafsi ya Kimei ambayo hayana nafasi kwa watu makini kama sisi na ni ushamba kuyajadili hapa.

  Pili ni Stimulus package,mwenye data kamili hebu azilete.

  Kwa habari nilizo nazo sector zilizoathirika na mdodoro wa uchumi duniani ni* Kilimo (Pamba na kahawa) na* Utalii na Mahoteli.
  Benki kuu ya Tanzania ilitoa kiasi cha TZS 18 billioni kwa Pamba na kahawa. Pesa hizi zilipwa kwa vyama vya ushirika na makampuni machache na si mtu binafsi.

  Kiasi kikubwa cha pesa za kupunguza makali ya uchumi hakikulipa kama inavyotarajiwa kwenye sekta ya pamba na kahawa.

  I stand to be corrected!
   
 20. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Sawa mie naona umejiunga leo sasa naomba nikuulize swali moja kwanza malengo ya stimulus package yalikuwa yapi?

  Na naomba utupatie data kamili kuonyesha utendaji na mafanikio ya makampuni ya pamba kabla ya kutokea economic recession mwaka 2008 tupate kuona kweli hayo makampuni yalihitaji msaada wa pesa zetu walipa kodi ili wapate kuendelea kujiendesha kibiashara.

  Vilevile tunaomba utusaidie kujuza hiyo pesa was it a grant or a loan tujue kama pesa zetu zitarudishwa au la?
   
Loading...