Mwandishi Mwanahalisi, kuuawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwandishi Mwanahalisi, kuuawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mvaa Tai, Jun 8, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mwandishi wa Gazeti la kila wiki la Mwanahalisi Ndugu Joster Mwangulumbi ametishiwa kuuawa na mmiliki wa simu namba 0652916931 Siku ya jumamosi, june 4, 2011. Mara ya kwanza aligiwa simu kumueleza ajiandaye na kifo mara ya pili iliingia sms ikionyesha kama ilikosea kuingia kwake bali ilikuwa iwafikie wauaji wenzake, SMS hiyo inasomeka kama ifuatavyo; "Nipo Segera, hakikisha petrol ipo ya kutosha, bastola nakuja nayo wasiliana na Hangi kwa namba 0759221096 aandae ninja za kuficha uso"

  Source Mwanahalisi la leo
   
 2. aye

  aye JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  mmh mungu kawaumbua wauaji hao
   
 3. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ukiona vimeseji ujue hakuna kitu, ila namuombea aishi kuliko aliyewatuma ili aendelee kupambana nao.
   
 4. Mwana CCM.

  Mwana CCM. Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni hatari, hebu ngoja tusikilizie kama kuna ukweli wowote, kwasababu sasa hivi namba husajiriwa obvious wahusika watakamatwa haraka sana, nchi yetu chini ya Utawala wa Chama cha Mapinduzi hatukuzoea kuuana
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sasa mbona ushahidi mnaleta humu?? polisi mmeshapeleka??
   
 6. m

  mapinno Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Usajjili wa namba bado una walakini, mtu akinunua laini mpya anaweza kuitumia kwa muda wa mwezi mmoja kabla ya kuisajili na hili ndilo linaleta matumizi mabaya ya mawasiliano
   
 7. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Kama wameshindwa kumkamata DC-Ilala ambaye mahakama imotoa arrest warrant na polisi ya CCM hawajamkata itakuwa hawa wa Mwangulumbi?
   
 8. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kwani DC yupo juu ya sheria? nadhani zinaandaliwa rojistiki za kumkamata mbona Mbowe imewezekana? itsi e mata oftaim atakamatwa tu, nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria.
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Hizi ndiyo taarifa za kiintelijensia,nadhani wenyewe zinawafikia.Pole Joster.
   
 10. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,071
  Trophy Points: 280
  waswahili bado tunaogopa sana kufa utadhani hatukuzaliwa. Fikiria, kama mababu zetu wawili kati ya 80 waliokuwa nanaswagwa kutoka Ujiji mpaka Bagamoyo wangeamua kujitoa muhanga wakafa na kumuua Mwarabu aliyekuwa anawaswaga labda historia isingesomeka hivi leo na hao wawili "wangekuwa hai" hivi leo! Lakini kundi lote la watu zaidi ya 80 waliswagwa mpaka Bagamoyo na hakuna tunaye mkumbuka kwa ujasiri hivi leo.
  Hivyo kubali au ukatae kulingana na hali halisi ya sasa Mwandishi wa Gazeti la kila wiki la Mwanahalisi Ndugu Joster Mwangulumbi ni sawa na hao wawili kati ya zaidi ya Watanzania milioni 47.. ....kuna watu ambao watasahaulika muda sio mrefu lanini believe me Ndugu Stanslaus Katabaro (Mungu aupe baraka uzao wake na) anaweza kukumbukwa mwaka 2099.
   
 11. Mwana CCM.

  Mwana CCM. Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi sipo vizuri sana katika historia, who is Ndugu Stanslaus Katabaro?
   
 12. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Hawana lolote hao..wanamtishia tu..endelea kuandika makala za ukweli joster.
   
 13. A

  Anyambilile Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiye aliyeandika ufisadi wa loliondo miaka ile!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wakati tuna gazeti linaitwa mfanyakazi sijui siku hizi lipo sina hakika kashfa za ufisadi zilianza siku nyingi
   
 14. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nimekupata vyema
   
 15. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,696
  Trophy Points: 280
  ccm hamjazoea!!!???mweee
   
Loading...