Kwako Mh. Lyatonga Mrema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwako Mh. Lyatonga Mrema.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by msnajo, Jun 14, 2011.

 1. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Mh natanguliza salam zangu kwako. Kwa muda mrefu umeweka historia nzuri ya uwajibikaji kama mpinzani wa ukweli. Japo msimamo wako haueleweki sana hadi watu wanahisi kuwa wewe ni mbomoaji wa upinzani badala ya kujenga. Na hata umekuwa mtu wa kung'ata na kupuliza na ukawa vuguvugu! Kuna hili swala la posho za wabunge, ambapo kimsingi zinaonekana kuwa ni mzigo kwa Watanzania na imeshauriwa na baadhi ya wabungu zifutwe ili kiasi hicho cha bil 900 kielekezwe kwenye huduma za jamii. Ukiwa miongoni mwa watumishi wanaonufaika na hizo posho wakati una mshahari mkubwa wakutosha kukidhi mahitaji hujasikika kwa lolote haza kufutwa kwa hizo posho! Inadhihirisha wazi kuwa nawe huna msaada sana kwa wananchi kwani una mind hiyo miposho. Tafadhali hebu toa msimamo wako tujue kuwa huna undumilakuwili. Samahani kama huu ujumbe utakukera, ni kwamba bado ninakutambua na ningependa kutambua uwepo wako bungeni Hh. Kwa mwana jf yeyote nawe unaruhusiwa kuchangia hii mada. Asanteni
   
 2. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Aache posho afe....
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Yuko kimaslahi zaidi,hawezi kuitema posho huyo.
   
 4. A

  Anyambilile Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aise biashara imechanganya hawezi kuacha, alisha sema alikuwa amefuria sasa amerudi
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  Lyatonga alisema hizo posho amezikuta na yeye anazichukua tu maana hao walioziweka walikuwa na maana yao
   
 6. s

  smz JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mrema hawezi kuacha posho nyie, labda wamuue, Yaani mzee wa Kiraracha kweli aseme sihitaji hii poso wacha iende Vunjo kwa wapiga kura wangu??!!, Lo napata taabu kidogo.

  Inataka moyo wa uwajibikaji kukataa pesa. Wenye uthubutu huo ni wabunge wa CDM tu, hawa ndo wana uchungu na maisaha ya waTZ. achana na kina Mrema, kwanza kura alizopigiwa zilikuwa za "huruma" tu.
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Hivi uliyeuliza swali hujui kama Mh. Mrema ni Mchaga?
   
 8. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  pumba nani ambae ajui kuwa mrema ni mchaga ,labda utujuze wewe ni wawapi?
   
 9. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  alisema bungeni aendi kubeba zege
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  What's so special kama akiwa Mchagga?
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  akale wapi.
   
Loading...