Kikwete kama Obama

rekebisha title yako mkuu, maneno haya mbona tumeyasikia tangu hujazaliwa na bado hakuna jipya? Badala ya kusema OSAMA we unasema OBAMA? huku ndo kuchanganya habari huwezi kumlinganisha mcheza kiduku na urembo na mchapakazi kama Obama. Labda umlinganishe na yule loser wenu OSAMA because their difference is their similarity!
 
lazima amtengenezee mshikaji wake njia mapema kwa kuwafunga mdomo mawaziri kuchukiana....sasa weakleaks nje nje mawizarani
 
baada ya hapo Tutarajie ma DC na RC kibao. Shitambara, tambwe hiza, law masha, makamba ndani kudadadake
 
nia yao ni kugawana hela.kwani kumuelekeza mtu hadi umkalishe kitako siku nne?ofisini wamemuacha nani.watu wana majukumu tofauti semina moja.alifaa kila wizara wapewe kitabu cha kuwaelekeza kutokana na kazi zake.wizara ya kilimo,uvuvi,miundombinu,sayansi,nishati..nk,wote muongozo huo huo!.hao wana lao jambo.80% ya watz ni wakulima,bora wangepewa semina elekezi bw/bi shamba.
luhanjo utamuelekeza nini?
 
rekebisha title yako mkuu, maneno haya mbona tumeyasikia tangu hujazaliwa na bado hakuna jipya? Badala ya kusema OSAMA we unasema OBAMA? huku ndo kuchanganya habari huwezi kumlinganisha mcheza kiduku na urembo na mchapakazi kama Obama. Labda umlinganishe na yule loser wenu OSAMA because their difference is their similarity!

hapo genekai umenena, upo sawa kabisa.
 
Magamba mengi sana ccm hayatakwisha mpaka ccm iwe chama pinzani!
 
alifanya ziara ktk wizara zote huko hakutoa maelekezo nadhani pale dodoma ilikuwa ni conclusion ili tuone amefnaya kazi kbwa huo ni wizi na matumizi mabaya ya pesa hasa kodi za wananchi au hawapi job Description wanapo apa. Mimi naona kama ni usanii tu, alafu alionekana mkali kweli lakini ukiangalia wale waliokuwa wanamskiliza yaliingia na kutoka. hakuna cha semina elekezi wala nini
 
Baada ya semina elekezi yaonekana JK sasa ameamua kusawazisha mambo. Wapinzani kaeni chonjo

Endelea kujifariji, mkuu!!
JK wako yupo madarakani toka 2005 ana jipya gani zaidi ya usanii, and then unamlinganisha na Obama...what a joke! How dare?
 
Back
Top Bottom