Bunge latu na English... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge latu na English...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ibrahim K. Chiki, Apr 13, 2011.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hali ni mbya bungeni, kuna uchaguzi wa representatives wa pan africa, and lugha ndani ya bunge imebadilika, inasikitisha kua tuna wabunge wanaongea kiingereza kibovu kabisa..tena mfano mzuri ni huyo speaker mwenyewe mama makinda...kiukweli anavyoongea kiingereza ni kama anaongea kiswahili. duu.. hii ni aibu.
   
 2. A

  Anyambilile Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lugha yetu ni kiswahili, hicho kiingerza ni lugha ya watu wengine hivyo usishangae maadamu wanaelewana na ujumbe unafika mahali husika basi poa.
   
Loading...