Constitution Does Not Justify Seating Allowances to MPs, Say Activists ... Pinda was Wrong!!!

Daftari la shule ya msingi hili na haya ndio matatizo yaliotokana na kuwa na ccm na wananchi kulala kwa muda wa miaka mingi. Ilikuwaje ccm wana-run hii Tanzania namna hii kwa muda mrefu? We are responsible for some of these failures..
 
Mkuu, i am more inclined to compliance and accoutability than pipoz pawar aisee

if this has been our bunge procedure, then wehere do we expect BUnge to be credible???
Which Bunge are you talking about? Hili lenye wamagamba wengi wanaozomea wanamapinduzi wachache wanapotoa hoja za msingi? This is not a Bunge bana, Ni kijiwe cha kuchumia posho na kubwabwaja kama pimbi wa Serengeti.
 
Ishu ya posho kwa kweli imesikitisha sana wapenda nchi yao na wapendao kuona utawala bora unadumu katika mihimili yote ya serikali.Oversight ya bunge mbona inatia shaka kama mambo ndio haya!

Nchi iliyokithiri kwa umaskini inakuwaje bunge lishabikie na kumsuta mbunge anayejali maslahi ya wananchi na nchi kwa ujumla?

Mfumo huo wa kutumia karatasi ya mahudhurio kama payment voucher ni mfumo mbaya katika uwajibikaji.Isitoshe, hoja ya Speaker kwamba "ni lazima' wabunge wapokee posho kwa sababu iko kisheria - ni hoja hafifu sana.Kwamba posho hizo ni muhimu kupokelewa kwa vile ndizo hutumika kulipia magari waliyokopa - ni hoja mufilisi! Kwani wanapokopa magari ya bei mbaya wakati kipato ni kidogo ( mshahara wa milioni 2.5) walillazimishwa na nani? Ukiangalia idadi ya wabunge viz a vis idadi ya wananchi wote, kisha linganisha na matumizi yao - kuna uwiano?Mwananchi wa kawaida anatwishwa mzigo mkubwa sana kupitia kodi n.k kum support mbunge.Je ni haki? Mwananchi alishiriki vipi kukubaliana na hizo posho na mazagazaga mengine wanayojilipa?Mh.speaker na waziri wa fedha hebu waoneeni huruma wananchi wa nchi maskini!
 
Spika wa bunge Bi Makinda asema kwamba atakayesusia posho kwa vikao vitatu mfululizo atafukuzwa mara moja. Nae Mh Zitto amjibu asema yupo tayari kufukuzwa kurudi kuvua dagaa kuliko kupokea posho.
Source; Mwananchi
 
Huyu mama alisha sema yeye ni mhasibu "by proffesional", " procedure" za kihasibu zinasema hivi,kama umeasaini karatasi ya mahudhurio ndiyo itakayo kuwa msingi wa hayo malipo kama kiambatanishi cha malipo. sasa mheshimiwa Zitto atahudhuria kikao kama kawaida lkn hatasaini kitabu cha mahudhurio.
"it means" yy kwenye hiyo "sitting allowance" hatakuwepo sasa tatizo nini mpaka umwambie kuwa nitakufukuza ndani ya bunge, wabunge wa ccm waangalie sana wasije wakashabikia jambo ambalo 2015 litakuja wasumbua maana watashindwa kutoa majibu ambayo yatakuwa na mshiko.Maana wataulizwa mlipo kuwa ndani ya bunge kwanza kazi yenu kubwa ilikuwa ni kuzomea na kudai posho kubwa badala ya kutetea maslahi ya wanyonge.Hizo pesa hasa kwa kazi uliyo omba na unalipwa mshahara si busara kulipwa hasa kwa nchi yetu ambayo ni maskini.

Ni mwazo tu.
 
Naona mpaka hapo palipofika inabidi itumike hekima vinginevyo hali itakuwa tete, na huyu mama aache kutumia nguvu nyingi katika mambo ambayo yapo wazi. Yeye afungue mjadala aone mtazamo wa wabunge ukoje saizi juu ya posho.
 
Tatizo woote wanafanya sio sababu ya kufikiria watu wengine bali wao wenyewe..
Wameka kisiasa siasa tu... everything about Siasa but not uzalendo..
Ni dhahiri kabisa woote wamekosa busara kabisa ya maamuzi, Tatizo msimamo
wenyewe wa CCM nao umekaa kisiasa kuhusiana na hili...

NDIO namsifu saana Kabwe na maamuzi yake ya kuonesha uzalendo but zijaona sababu
za msingi za yeye kukataa kuwekewa pesa kwenye akaunti alafu yeye mwenyewe
akazipeleka kwenye hio taasisi alolenga.. (Kigoma Development Initiative..)

Na Makinda nae wa ajabu... maana posho personally naamini mpokeaji aweza kataa kuchukua
kama yeye binafsi kaona kua haitaji... yoote hio ushindani, kutaka kuonesha kua anaweza endesha
bunge kwa ku control members zake.... mambo hayaendi hivyo... alifanya mistake the first time
hata kama sera za Bunge zinasema posho lazima in this special case ambayo budget ni issue tete
bado ni heri angekubali kua all is good na wabunge wengine willing wafuate mkombo ila hamna
haja ya kujitangaza... after all ni wazi (ingawa wazi zenye mapungufu...) kua wapo hapo kwa ajili ya wananchi...

All in all lets wait and see...
 
huyu mama day one anachaguliwa nilimtusi maana najua hana akili..sasa kila siku zinavozidi kwenda inadhihirika jinsi alivyo mtupu kichwani...
 
Wana JF naomba ufahamu zaidi

Nimesoma kwamba Mama Makinda amesema Zitto anaweza kufukuzwa bungeni iwapo hatasaini hati ya mahudhurio, nimeshindwa kupata uelewa kama attendance register/form inakuwa ndio hiyohiyo hati ya malipo kwamba mbunge akisaini mahudhurio basi ndio signature ya malipo inakua imesainiwa

Hii siyo room ya watu kuja kusaini tu na kuchukua pesa na kutohudhuria bunge?? kanuni za uhasibu zinasemaje?? Vipi kuhusu wahasibu kutengeneza hati za malipo baada ya kupokea orodha ya mahudhurio...

NIna wasiwasi kwamba kuna wabunge huhudhuria kwa signature tu na si kwa matendo endapo huu ndio mtindo wa bunge letu

Wenye akili finyu watamshauri huyo mama Anne asipo sign vikao vitatu mfukuze bungeni. Kitakacho tokea hapo ni hasira za wapiga kura kwa CCM kuwa wao wanalipana posho kwa siku wkt wao wananchi walio wachagua wanataabika kwa kudanganywa na vikofia,vitshirt.
Hivi kuna ugumu gani wa Mhasibu wa bunge kudirect hizo pesa za posho kwenda kwenye account anayo taka Zitto? Yaani mambo mengine yanatia kichefu chefu kabisa eti ni sheria wameweka kila mbunge apokee sitting allowance sijui sheria gani na ya mwaka gani?
 
Nimesikitika sana kusoma Magazeti Asubuhi hii yakieleza Mheshimiwa Spika atamfukuza Zitto asipochukua Posho kwa siku tatu mfululizo, Posho inayolipwa baada ya ku-saini daftari la mahudhurio. So kama anaonekana Bungeni na unamuona kwa nini umfukuze au ndo mnataka wananchi wafanyeje?


Inachosha bwana, Mama Makinda what is this Mama?

Technology itamuumbua Mama Makinda. Kupitia luninga, nchi nzima wanamuona Zitto bungeni kila siku sasa Mama Makinda atasemaje kuwa hajahudhuria vikao? Tatizo la huyu Speaker anaendesha bunge kama enzi za TANU! Kweli wanasema ukitaka kumjua mtu ni wa namna gani basi mmpe madaraka! She is incompetent beyond belief. Hana ubunifu wala busara hata kidogo!
 
Wenye akili finyu watamshauri huyo mama Anne asipo sign vikao vitatu mfukuze bungeni. Kitakacho tokea hapo ni hasira za wapiga kura kwa CCM kuwa wao wanalipana posho kwa siku wkt wao wananchi walio wachagua wanataabika kwa kudanganywa na vikofia,vitshirt.
Hivi kuna ugumu gani wa Mhasibu wa bunge kudirect hizo pesa za posho kwenda kwenye account anayo taka Zitto? Yaani mambo mengine yanatia kichefu chefu kabisa eti ni sheria wameweka kila mbunge apokee sitting allowance sijui sheria gani na ya mwaka gani?

Hapo inanikumbusha wale wastaafu wa Afrika Mashariki.
 
Huyu mama kachanganyikiwa - wapi na wapi kuhusisha mshahara na posho!! Hiyo ni logic ya maneno ya mitaani. Kama mshahara hautoshi aidha uombe uongezwe au achia nafasi watu wengine watuwakilishe. Kitu gani kinawafanya mnagombea nafasi ya ubunge kwa mashindano ya kukatana makoo. Pili hawa ndo wanaweka taratibu za uhalali wa matumizi ya fedha - inakuwaje utumie hati ya malipo na wakati huohuo iwe orodha ya mahudhurio. Mtu anaweza hudhuria na si lazima achukue malipo. Nina mfano wa mama mmoja wa cheo cha juu alikuwa anapewa imprest lakini alikuwa anairudisha yote kwa kuwa alifikia kwa ndugu zake na wakati huohuo alikuwa amekamilisha kazi aliyotumwa. Sikuona wakuu wake akimshitaki kwa kurudisha hela ya posho ambayo alikuwa na utashi wote wa kuitumia.

Viongozi wa mashirika ya kigeni wamekuwa wakilalama sana kwamba wa Tz posho wanazifanya ni mishahara hivyo kuwaweka barabarani (safarini) daima na kwa siku nyingi ambazo haziwiani na kazi wanazozifanya. Zitto ameonyesha njia watu tujitafakari.
 
Spika wa bunge Bi Makinda asema kwamba atakayesusia posho kwa vikao vitatu mfululizo atafukuzwa mara moja. Nae Mh Zitto amjibu asema yupo tayari kufukuzwa kurudi kuvua dagaa kuliko kupokea posho.
Source; Mwananchi
Edson... kinachosikitisha hapa ni jinsi accountability ya viongozi wa mhimili kama bunge wanavyochukulia vitu light na kutoa matamko ya ajabu kama wanafundisha shule ya msingi katerero
 
hata mimi nimejiuliza sijapata jibu, inavyoonyesha unaweza kwenda kusaini asubuhi then unasepa.. unakua umeshaingiza siku

na kama mh zitto kesho atasoma budget mbadala na iwe hajasaini kwenye kitabu cha posho sijajua watahesabu kwamba hakuwepo au vip
 
hiki ndicho kisu cha mwisho kwa CCM. wasipokuwa makini wakakataa hizo hela
,wakaboresha maisha ya wanamchi,wakaongeza wigo wa kodi kwa makampuni
ya nje yanayochota madaini yetu,sidhani kama kuna atakaekipigia tena kura 2015.
watu wamechoka kusikia pumba na uozo wa kila siku,huyu mama nae awe makini sana
asijione mjuaji na sisi majuha. Time will tell watafunika nuso zao kwa aibu tutakapowakamata
wote na kuwasweka ndani warudishe mali yote waliokwapua kwa hila.Hii itawezekana tu kama tukiwa na serikali mpya.
 
this is serious if we mix attendance na payment advice directly... where is internal control procedure??

Zitto ataibua makubwa kama hawatamuelewa

and please hii sio peoplesss powerrr...this is more serious

umefanana sana na mdogo wangu the finest.....
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom