Recent content by Antidius97

  1. Antidius97

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    nimefurahi kumuona raisi live.... ngoja nikachukue kakonyagi
  2. Antidius97

    Hili ni funzo kubwa katika Mapenzi, tujaribu kuchukua hatua ya busara na ya kiutuzima!

    Dogo bado unaishi kwenye mazingira magumu jipende wewe kwanza, utaiona thamani yako ni zaidi ya huyo mwanamke.
  3. Antidius97

    Kagera/bukoba villages gallery

    muleba moja hiyo
  4. Antidius97

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    kwani wewe ulimjibu kwa fact???
  5. Antidius97

    Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

    Du! kweli watu wengine utundu bado hamjaacha
  6. Antidius97

    Ushawahi kutongoza/ kutongozwa na jini? Ikawaje?

    Hahaha jamaa we sound kama mpoki
  7. Antidius97

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hahaha wewe jamaa unachekesha sana inaonesha una wivu sana
  8. Antidius97

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mfumo ubadilishwe ili iweje ....mfumo ni ule ule na bado mtakaa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Antidius97

    Lukaku, Morata na Lacazette: Nani mkali zaidi?

    Tores alikua mfungaji mzuri alipokua liverpool lakini alipokuja chelsea hakufanikiwa na alikua anacheza ligi ya uingereza ...kwahiyo haya mambo hayahitaiji uzoefu... ni mfumo tu wa uchezaji Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Antidius97

    RANGO 2016

    Hivi muendelezo wake bado tu haujatoka maana nilifatilia mpaka nikachoka Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Antidius97

    RANGO 2016

    Mazee kumbe mnajua vitu vizuriii...kuna watu wakiniona nangalia hizi mambo wananiona mtoto kumbe hawajui uzuri wake Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Antidius97

    Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

    Amuite aongee naye tu taratibu...maana sikuhizi wamekua wajaja sana...mimi nilimshushi kelubu za maana dogo mpka akakimbilia kujifungia chumbani af akajifanya amekunywa sumu eti anataka kufa mpaka mama anatoka kazini kwasababu ya ujinga wake .... Basi tulipofanikiwa kufungua mlango kila dogo...
  13. Antidius97

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    Dooh! Huyu dem ni mchoyo na hafai kabisa kwenye jamii Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
  14. Antidius97

    Hawa hapa Waliochaguliwa Kidato cha tano, Wanafunzi 3,000 waliofaulu waachwa

    Hivi awamu yapili hua inatolewa baada ya muda gani?
Back
Top Bottom