Recent content by ANoNYMITY

  1. ANoNYMITY

    Vimbwanga na vitisho vya nyumba niliopanga

    Mtangulize mola wako na umuhimidie yeye. Hakuna utachogopa. Huoni mkeo anaafadhali?!
  2. ANoNYMITY

    Nina watoto, sina nyumba na sina mke

    Eti Mungu akanijalia nikapata mtoto bla bla...we mzee toka lini ukaona MTU anafanya ya haramu alafu anasema Mungu akanijaalia nikaiba, au Mungu akanijalia nika zini na demu flani n.k Acha kumuhusisha Mungu katika maovu yako ili uonekane innocent. Alafu pia huonekani kujutia uzinifu wako! Huo...
  3. ANoNYMITY

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Mkuu hi 'wahazalani' nlijua miongoni mwa vitabu vya biblia. Kidogo ni google. Sema nkashtuka kumbe ni uandishi wako mbovu. [emoji5]
  4. ANoNYMITY

    Ushauri: Nashindwa kumsahau kabisa mpenzi wangu wa zamani

    Tatizo nahisi una memory kubwa sana...ingekuwa mimi wewe ningeitumia katika kujiendeleza kielimu. Anyways, dawa nadhani ni kula vyakula vinavyopunguza kumbukumbu. Soda nyingi, chips, snacks, bites n.k yaan ukiona chakula kina mafuta na hakina nutrients we ndo fakamia haswaa. Usisahau kutupa...
  5. ANoNYMITY

    Shule gani nzuri ya A-level kwa Dar, Arusha au Moshi?

    Feza boys' sec school. Ipo dar, tegeta
  6. ANoNYMITY

    Vipi mtu asiyejua kusoma na kuandika, aliyeishi miaka 1400 iliyopita akajua haya?

    Sawa mfuasi wa jay z. Naona mtume wenu Jay Z na wenzake huwa wanadai hamtokufa(wajenzi huru). Si bora anayesema Kuna mbigu saba! Endeleeni kuota! Mjenzi huru mkubwa we!
  7. ANoNYMITY

    I am looking for a teaching job

    Malkia alikuwa anaishi kwetu zamani!
  8. ANoNYMITY

    I am looking for a teaching job

    Dah braza kwahiyo hapa ulikuwa unamrekehisha mwenzako sio? *Catastrophe[emoji117]Catastrophic *It's so perpetuating? Ndo nini! *No such word as 'ferbagasting' Lugha ya malkia kweli ngumu! [emoji54]
  9. ANoNYMITY

    Kwanini wakenya wengi hawapendi kupiga picha yenye mlima Kenya nyuma?

    Dude, We Tanzanians are used to wasting time on trivial matters. It's just who we are. So, take us for who we are. Can't help but waste time. Particularly, aliyepost thread seems to have mastered the art of wasting time.
  10. ANoNYMITY

    Dr. Magufuli yuko sahihi na serikali yake, tubadilike

    Akae kimya vipi mkuu...mbona we umeongea hapo. Kila mtu ana haki ya kuwasilisha maono yake
  11. ANoNYMITY

    Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    Impongo, hata wewe naona asili yako umetokana na mbwa na jogoo! Proof? Simple! Naona avatar yako inajieleza. Na ninaweza nikaprove zaidi ukitaka.
  12. ANoNYMITY

    Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    Sawa "Ibirisi" tumekusikia na kukuamini. İla uwe unatafuta kazi za kufanya next time
  13. ANoNYMITY

    Rais Magufuli, unakumbuka Ulimwengu alizungumza nini na leo yanatokea?

    Fanyeni mtachofanya...ongeeni mtayoongea ila bei ya umeme isipande..tena ishuke tu kama vipi, na umeme wetu msiuguse. Period!
  14. ANoNYMITY

    Leo nimemuona Shehe anakwenda kijiwe hadi kijiwe kuwahubiria vijana wavuta bangi

    "Najua kuhesabu namba moja, mbili, tatu, nne, tano, sita, saba nane tisa, kumi". Ebu kasome kwanza namba uzielewe mengine tutadiscuss baadae.
Back
Top Bottom