I am looking for a teaching job

I am looking for a teaching job

Dah braza kwahiyo hapa ulikuwa unamrekehisha mwenzako sio?

*CatastropheCatastrophic
*It's so perpetuating? Ndo nini!
*No such word as 'ferbagasting'

Lugha ya malkia kweli ngumu!
Kausha basi....wewe unatumia dictionary gani?
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Mwanangu hapo.atakuja kuharibu kizuri anachokijua,siitaki shule utakayofundisha.
Ndo walimu waliopo siku hizi, unakuta mwalimu hawezi hata kuongea sentensi moja ya kiungereza. Darasani full kutafsiri.
 
006ab7ad9a2c7f88b9bf3d1b35b69282.jpg
 
I hold a degree in Education. I specialize in English and History but i can also teach Civics very well. Please contact me on 0769306968. Currently am in Geita town
Ulisomea shule na chuo gani mkuu.

Kama wewe ni Mwl kweli basi Taifa bado linayo safari ndefu katika kufutilia mbali ujinga
 
'Ward secondary school'?
Do not translate a word into another language literally, you will end up being a laughing stock.
What was it supposed to be for example
 
Tatizo lake ni kutofanya proof reading, hajakosea kwa kiwango unachotaka kuaminisha wengine! Geuza hii comment yako iwe ya kizungu tuone ubora wako na wewe.
That is what he!she can write, usitake kumtetea kuna typing error ambazo mtu anaweza kosea ukasema sio ishu, lakini hapo kaandika anachochujua, hata angeipitia Mara 200 asingeweza Ku identify hizi error, so ukweli ndo huu, wewe mpumbaze abweteke aendelee kuamini anajua,
 
Ushauri wa bure mleta mada Fanya haya
Badilisha ID, anzisha mada kwa kiswahili, namba ya simu weka nyingine.
Kama ulikua umesubscribe huu Uzi basi unsubscribe fasta disco kaingia mmasai
Nawezaje chenji ID
 
Kiingilishi ulichoandika hapo mie hoi, jiongeze utafika tu. Natumaini utapata kazi hata ya masomo mengine na kujiongeza kwenye mengine.

Ila muwe makini, imagine mtu anafurahia kuona tangazo lako humu, akiingia anachoka na kusepa tu kimya kimya.
 
Kama ipo kazi mpeni tu. Au mwenye chaka lolote ampatie. Otherwise mnamdiscourage tu. mnajua lugha ya malkia,(so what???). Haikufanyi uwe bora ya wengine tusiojua. Hiki kipindi ni kigumu katika kutafta kazi.. watu washakata tamaa. Tusiwakatishe tamaa zaidi..
(Ni maoni tu)
Kwa msaada zaidi tumia Download Elevate Brain Training Pro apk (upande wa android) kujiboost..

Another link Download Elevate Brain Training Pro apk
 
That is what he!she can write, usitake kumtetea kuna typing error ambazo mtu anaweza kosea ukasema sio ishu, lakini hapo kaandika anachochujua, hata angeipitia Mara 200 asingeweza Ku identify hizi error, so ukweli ndo huu, wewe mpumbaze abweteke aendelee kuamini anajua,
Msahihishe.
 
mmmh acha kujipa matumaini ndugu yangu sa lugha tu ikiwa shida huyo unayemfundisha atakua katika hali gani?
 
Hizi hapa ajira za ualimu 5 mwanza mkaguzi.blogspot.com/2017/01/secondary-tecahers-jobs-at-mwanza-5-jobs.html?m=1
 
Hizi hapa ajira za ualimu 5 mwanza mkaguzi.blogspot.com/2017/01/secondary-tecahers-jobs-at-mwanza-5-jobs.html?m=1
Ingia mkaguzi blog mkuu kuna ajira za walimu watano mwanza wametangaza Leo 5/1/17
 
That is what he!she can write, usitake kumtetea kuna typing error ambazo mtu anaweza kosea ukasema sio ishu, lakini hapo kaandika anachochujua, hata angeipitia Mara 200 asingeweza Ku identify hizi error, so ukweli ndo huu, wewe mpumbaze abweteke aendelee kuamini anajua,

On top of that , you would have rectified him by showing him/her where things went wrong rather than coming up with unnecessary dramas.
 
Back
Top Bottom