I am looking for a teaching job

I am looking for a teaching job

Kaka English yako mbovu sana, ni aibu kwa serikali, ni aibu kwako kuwa degree holder halafu hujui kingeereza, poor English grammar, soma novels, tzama movies, na tzama Mpira wa kiingereza u will improve progressively
kweli yani sasa sijui ni mwalimu wa wapi huyu
 
Tuliosoma shule za serikali kuanzia mwanzo mpaka tunafika vyuoni hua tuna mitihani haswa.
Kuanzia walimu wanaokuja kutufundisha.

Vitabu, maktaba na ubora wa hivyo vifaa.

Tunafika vyuoni, tunatakiwa kufanya presentations, confidence ya kusimama mbele za watu hauna maana hata ulivyokua sekondari kusimama mbele kwa ajili ya 'morning speech' ilikua ni shughuli.
Watu wanakunywa hadi viroba ili kupata hata tone la kujiamini, ambao hatunywi tunajikuta tunaongea huku tumeinamisha vichwa chini hapo hapo tukijikanyaga mpaka kusahau hoja zetu hapo mbele ya darasa.

Ukitoka hapo chuo ulichosoma kinaonekana cha kipumbavu kikienda kulinganishwa na UDSM, kisha unaambiwa kwa kozi uliyosoma kalime, kwa huu ukame unaonyemelea kilimo kimeshakua fumbo.
Unadhani nitakumbuka kua heading yangu nimeboronga? No way muuhfucka
 
Kaka English yako mbovu sana, ni aibu kwa serikali, ni aibu kwako kuwa degree holder halafu hujui kingeereza, poor English grammar, soma novels, tzama movies, na tzama Mpira wa kiingereza u will improve progressively
Tatizo lake ni kutofanya proof reading, hajakosea kwa kiwango unachotaka kuaminisha wengine! Geuza hii comment yako iwe ya kizungu tuone ubora wako na wewe.
 
Tumeyataka wenyewe.miaka ya mwisho ya sitini na mwanzoni mwa miaka ya sabini tulijifunza brightet gramma book 1,2,and 3, ukiwa std 1V you could speak in spoken form of standard english.Tukaja na upe tupa vitabu hivyo kule leta Tujifunze lugha yetu kibanga ampiga mkoloni tumebaki kulalamika wakenya wanachukua kazi zetu kwenye mahoteli ya kitalii.Tutaenda wapi na kiswahili kwenye nchi hii maskini?
 
Aiseeee 'we are still having a job' your english shows how your not a sport man at all. Bado tuna kazi, kiingereza chako kinaonesha we si mtu wa mchezomchezo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Ushauri wa bure mleta mada Fanya haya
Badilisha ID, anzisha mada kwa kiswahili, namba ya simu weka nyingine.
Kama ulikua umesubscribe huu Uzi basi unsubscribe fasta disco kaingia mmasai
 
Ma friend ure english is catastrophe, its so perpetuating seing tanzanians with such a ferbagasting language
 
Ma friend ure english is catastrophe, its so perpetuating seing tanzanians with such a ferbagasting language
This kind of shit happens when you presume you know English better. My friend you aren't an inch better than the job sekeer
 
I hold a degree in Education. I specialize in English and History but i can also teach Civics very well. Please contact me on 0769306968. Currently am in Geita town
Mkuu,watu wasikuzingue...binafsi nimependa kwa uthubutu wako...sio kila mtu anaweza andika japo sentensi mbili za kingereza hadharani,achana wa watu ambao kazi yao ni kukejeli binadamu wenzao,usiwajali sana maana wanashida hadi matakoni tena wengi wao hata kuelewa ulichoandika ni shida,wanajifariji kwa kuponda ponda wenye kila lifanywalo na binadamu wenzao. Achana nao mkuu wewe endelea kumuomba Mungu atakusaidia.

Binafsi naona kuna ugumu wakupata kazi kwa nyakati hizi ila nakushauri angalia namna yakujihusisha na kilimo na ufugaji mkuu...tena achana na kuzunguka na bahasha mjini,nenda kijijini au maeneo ambayo hayajachangamka....lima vitu vidogo vidogo nyakati ambazo sio za msimu mfano unaweza lima matikiti,maharage na n.k

Pambana,ishi kwa shida...acha wenzako wakae huko mjini wewe pambana na shamba,then anza kununua ardhi kidogo kidogo tu huko huko kijijini ( hakikisha unanunua ardhi isiyo na migogoro)anza kupanda miti kama mikaratusi na mingine mingine inayovumilia ukame( hali ya hewa inabadilika sana)...pia anzisha biashara itakayokuwa inakupa ela kidogo kidogo huku ukiendelea na kununua ardhi na kupanda miti mwaka mpaka mwaka bila kusahau kilimo cha maharage na vitu kama hivyo.....

Ndugu nakuambia baada ya miaka 13 utakuwa na hecta zaidi ya 10 ambazo ukiziuza utajenga shule yako na zaidi....

Maisha yapo kijijini ndugu yangu hasa kwa watu tusio na mtaji mkubwa au kuliotoka familia duni....

ZINGATIA:-ukienda kijijini usijifanye wa town,shiriki nao kwenye kila jambo jema,ongea kiswahili na ukiweza jifunze hadi salamu kwa kiluga chao

Pia achana na wasichana/ wanawake wa huko....chagua msichana mwenye malengo especially asiye mzawa wa huko(mfano unaweza date au kuoa mfanyakazi kama mwalimu,nesi n.k)

Usijihusishe na POMBE za kienyeji,zitakupotezea malengo sana,

Jiepushe na migogoro maana watu wa vijijini wana roho ngumu sana,mtu hakawii kukukata kichwa au kiganja kisa unamsalimia salimia mke wake mara kwa mara au kwasababu za kijinga jinga tu.

Zaidi jifunze kupuuzia.

Mungu akubariki sana mkuu......karibu kijijini.
 
mwee mweee mwee....
ungeandika kiswahili ungeeleweka vizuri zaidi, kwel HR huwa tunawalumu bure, mi sijui kiinglishi ila hiki oooh umenizid mkuu, umebobea kwenye kiinglish gani maana hii i hold a bachelor of english mmh hapana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom