Leo nimemuona Shehe anakwenda kijiwe hadi kijiwe kuwahubiria vijana wavuta bangi

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,445
Shehe alikuwa anakwenda kijiwe had I kijiwe.
Shehe wa Msasani huyu anawahubiria vijana. Ujumbe wake ulikuwa "Nyie vijana, mbona siwaoni katika swala? Mnkaa kijiweni tu mnavuta bangi?"
Akawakaribisha vijana kuja kwenye swala.
Kijana mmoja anasema naweza vipi kuja kwenye swala na hii nguo yangu imechanika? Yaani zile nguo za kisasa za vijana ambazo zimechanika wakati zikiwa mpya dukani.
Shehe akamwambia njoo tu na nguo hiyo. Lakini akamuuliza kwa nini mnanuna nguo kama hizo?
Halafu nikamuomba ruhusa Shehe niwaeleze vijana kuhusu Amri Kumi za Mungu.
Nilipopata ruhusa nikasema:
1.Mungu ni mmoja tu aliyekuumba. Usiwe na miungu wengine zaidi ya yeye.
Mwabudu Mungu na uzitii sheriaza Maumbile.(Laws of Creation)
Inaonyesha kukosa imani kwa Mungu ukitegemea chochote zaidi ya Mungu Muumba na chembe za Roho ya Kristu iliyopo ndani mwako. Roho ya Muhammad kama wewe ni Mwislamu.
Yaani Kristi aliokoka kwa Roho ya Kristu iliyokuwepo ndani yake.
Muhammad aliokoka kwa Roho ya Muhammad iliyokuwa ndani take NA wewe utsokoka diyo kwa msaada wa Muhammad lakini kwa Roho ys Muhamm ambayo Allah ataiweka moyoni mwako.

2 Usilitumie jina la Mungu bila heshima. Usilitumie jina la Mungu kuapa uongo.
3.Mpende Mungu kwa moyo wako wrote, kwa nguvu zako zote na kwa akili ysko tote. (Mpende Mungu kama unsvyojipenda mwenyewe
 
Yaani zile nguo za kisasa za vijana ambazo zimechanika wakati zikiwa mpya dukani.
Shehe akamwambia njoo tu na nguo hiyo. Lakini akamuuliza kwa nini mnanuna nguo kama hizo?

Mzee Andrew hii ndiyo mada kuu!
 
Andrew Bro leo umekunywa mvinyo wa aina gani?
Ina maana Amri kumi za Mungu wewe umemeza hiZo tu?
 
"Najua kuhesabu namba moja, mbili, tatu, nne, tano, sita, saba nane tisa, kumi". Ebu kasome kwanza namba uzielewe mengine tutadiscuss baadae.
 
Shehe alikuwa anakwenda kijiwe had I kijiwe.
Shehe wa Msasani huyu anawahubiria vijana. Ujumbe wake ulikuwa "Nyie vijana, mbona siwaoni katika swala? Mnkaa kijiweni tu mnavuta bangi?"
Akawakaribisha vijana kuja kwenye swala.
Kijana mmoja anasema naweza vipi kuja kwenye swala na hii nguo yangu imechanika? Yaani zile nguo za kisasa za vijana ambazo zimechanika wakati zikiwa mpya dukani.
Shehe akamwambia njoo tu na nguo hiyo. Lakini akamuuliza kwa nini mnanuna nguo kama hizo?
Halafu nikamuomba ruhusa Shehe niwaeleze vijana kuhusu Amri Kumi za Mungu.
Nilipopata ruhusa nikasema:
1.Mungu ni mmoja tu aliyekuumba. Usiwe na miungu wengine zaidi ya yeye.
Mwabudu Mungu na uzitii sheriaza Maumbile.(Laws of Creation)
Inaonyesha kukosa imani kwa Mungu ukitegemea chochote zaidi ya Mungu Muumba na chembe za Roho ya Kristu iliyopo ndani mwako. Roho ya Muhammad kama wewe ni Mwislamu.
Yaani Kristi aliokoka kwa Roho ya Kristu iliyokuwepo ndani yake.
Muhammad aliokoka kwa Roho ya Muhammad iliyokuwa ndani take NA wewe utsokoka diyo kwa msaada wa Muhammad lakini kwa Roho ys Muhamm ambayo Allah ataiweka moyoni mwako.

2 Usilitumie jina la Mungu bila heshima. Usilitumie jina la Mungu kuapa uongo.
3.Mpende Mungu kwa moyo wako wrote, kwa nguvu zako zote na kwa akili ysko tote. (Mpende Mungu kama unsvyojipenda mwenyewe
Wine zitakuua...
 
Afadhali huyo anaehubiri,kushawishi na kujadiliana na watu juu ya kile anachoamini kuliko wale wanaochochea vurugu na mauaji huku wakitarajia watu wawaelewe na kuipenda imani yao.
 
Nchi inaongozwa rais. Juu ya rais yupo emperor. Juu ya eemperor yupo Mungu. Juu ya Mungu ipo The Creation.
5,Itakase siku ya Sabato. Itumie kumkumbuka Mungu.
6.Usiue.
Hiyo haihitaji maelezo mengi. Usimmue MTU.
Vita pia ni makosa
7.Usizini.
Zinaa ni kufanya zinaa nje ya ndoa.
Zinaa lazima if any we ndani ndoa tu NA kwa madhumuni ya kupata watoto.
Huipendi hii sheria?
Ndio yametokea matatizo yote haya; idadi kubwa ya watu, magonjwa, kuua watoto wachanga kabla hawajazaliwa,utesaji wa watoto.
Hata kama huipendi hii sheria utaona ina mantiki.
Lakini hii ndio sheria ambayo watu wameiandika upya ili iwapendeze.
8.Usiibe
Hii pia haihitaji maelezo sana.
Usiibe vitu vya mtu mwingine au hata mawazo yake, na hasa mawazo yake
Hata kama mtu amekufa, usiyateke mawazo yake na kusema yako.
Hata kama ni mawazo ya shetani, tambua msaada wake kwako.
Lakini acha kumsingizia Yesu amekutuma kutenda maovu.
9.Usiseme uongo.
Hii haihitaji maelezo.
10.Usitamani au kumuonea wivu mtu mwingine katika vitu vyake. Ati umnyang'anye yeye avikose, wewe uvichukue
 
Shehe alikuwa anafanya ziara ya vijiwe. Alikuwa na wapambe wake wanne au watano.
Akiongea wao wanaongezea maneno.
Halafu nikaongea kuhusu amri za shetani.
Amri zake shetani ni digrii ya sheria moja tu.
Zivunje sheria zote za Mungu Muumba na za Creation.(sheria za afya, sheris za physics)
Hii ieleweke vizuri.
Inaposemwa kuuahaina maana kumuua mdudu au kumuua mnyama Bali ni kumuua mtu.
Kumuua NA kuudhalilisha mwili wake kabla au baada ya kumuua, kwa sababu lengo ni kuidhuru roho.
Halafu haitoshi kama wawili au watatu wanaua.
Katika kundi la shetaniwwrote lazima waue. kila mmoja lazima aue kuitekeleza hiyo amri.
 
Uwa unanilipa subscribe ya WiFi yangu Ili niwe nawatafsiria wadau humu content ya kile ukimaanishacho katika nyuzi zako ! Ona sasa watoto wa 4G wameanza kukutukana mzee Andrew pole Sana wasamehe bure.
 
Nchi inaongozwa rais. Juu ya rais yupo emperor. Juu ya eemperor yupo Mungu. Juu ya Mungu ipo The Creation.
5,Itakase siku ya Sabato. Itumie kumkumbuka Mungu.
6.Usiue.
Hiyo haihitaji maelezo mengi. Usimmue MTU.
Vita pia ni makosa
7.Usizini.
Zinaa ni kufanya zinaa nje ya ndoa.
Zinaa lazima if any we ndani ndoa tu NA kwa madhumuni ya kupata watoto.
Huipendi hii sheria?
Ndio yametokea matatizo yote haya; idadi kubwa ya watu, magonjwa, kuua watoto wachanga kabla hawajazaliwa,utesaji wa watoto.
Hata kama huipendi hii sheria utaona ina mantiki.
Lakini hii ndio sheria ambayo watu wameiandika upya ili iwapendeze.
8.Usiibe
Hii pia haihitaji maelezo sana.
Usiibe vitu vya mtu mwingine au hata mawazo yake, na hasa mawazo yake
Hata kama mtu amekufa, usiyateke mawazo yake na kusema yako.
Hata kama ni mawazo ya shetani, tambua msaada wake kwako.
Lakini acha kumsingizia Yesu amekutuma kutenda maovu.
9.Usiseme uongo.
Hii haihitaji maelezo.
10.Usitamani au kumuonea wivu mtu mwingine katika vitu vyake. Ati umnyang'anye yeye avikose, wewe uvichukue
ndo mara ya kwanza kumuona shekhe anahubiri siku ya sabato
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom